Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Umejuaje ni wanawake kweli? Na tuta judge vipi uzuri wao bila kuona picha zao halisi?
 
Robert unapoteana sasa. You need time off.
 
Nzuri Nkamu za siku tele?

Na ndiyo sehemu ya watoto wazuri kujionyesha

Mungu ni mwema nkamu. Natumaini ulikuwa na sikukuu njema. Hebu mwaka mpya na ukaje na mema tupu kwako na wapendwa wako.

Tumuombe mwenye uzi aongeze jina lako nkamu maana kwa maoni yangu pengine unawazidi wote walioshindanishwa hapo ❤️🔥🏃🏿‍♂️
 
[emoji23][emoji23] dah!! Mrs available anaupiga mwingiii.. apewe maua hata kama yameoza [emoji1787][emoji253][emoji253]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji477]️[emoji477]️[emoji477]️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…