Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Kama sifa hizo ni za Leejay49 AOLEWE si tunataka Mrembo akivaa swimmingsuit tuone hips
Tuone shape ya manati[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hata unaweza ku geuss kwa bibi ni paleeeee.
Mrembo atakayeenda social media competition kama Insta, Fb, badoo n.k

Sifa hizo hapo ana Demi
Lakini hapo awepo@Tayana-wog , Joanah na wale nimetaja.

Hao mtapiga sana kampeni. Hawauzikiiii
Wee@GENTAMYCIME hela yako italiwa na wajumbe tu
Jamani😂😂😂🙌
 
Kwema Wakuu!

Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.

Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?

Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi

Miss JF 2023. Ameng'arisha
nimeshampigia Depal
 
Nyanga kama hizi zilifanyika way back hapa JF, tulikuwa tunasponsor, kuna promoters, wapiga debe na mwisho mshindi anakula kitita...
Umenikumbusha enzi hizo Chit-chat na Celebrity forum hatari sana….halafu hapo kwenye list kuna pisi kali imewekwa lakini hadi sasa ina point chache sana hahahhahaha……! Enzi hizo “Leo tupo hapa”
 
Back
Top Bottom