Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Sawa shemeji natarajia mambo yataenda safi kwakua wewe kaka yake upo,Ngoja aje akkupe mwongozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa shemeji natarajia mambo yataenda safi kwakua wewe kaka yake upo,Ngoja aje akkupe mwongozo
Kumbe ngoja nimpe DepalMshindi anatakiwa mmoja. Kitendo cha kuwapa kura wote ni kumnyima yule unayemuona ni mrembo
Hamji kuniungisha nimekaa na ma container yangu tu😂❤️❤️ mkuu.
Halafu mmetoroka uzi wetu wa picha ule. Katibu wa hamasa ufanye kazi yako watu warudi kule.
😂😂😂Faiza atashinda......... TakbiiiiiiiiiiirSisi ni kama Faiza foxy[emoji23][emoji23]🫣
Nlikuwa Sijui kumbe ww kidume! Haya njoo kigamboni kuna kazi ya saidia fundi upige chepeMkuu huu ni ukorofi😄
AiseeeNyanga kama hizi zilifanyika way back hapa JF, tulikuwa tunasponsor, kuna promoters, wapiga debe na mwisho mshindi anakula kitita...
😂Sawa shoooNgoja nitapita naked utoe comment
😂😂😂😂Demi ndio mrembo hapo. Lkn list fake imeletwa tupigie kura.
Rufaa imeshakatwa na Baraza la michezo limebatirisha shindano.
Mnaopigia kura mnapoteza muda.
Sponsor nimesema. Tajiri hapingwi[emoji23]
😂😂😂 ✍️Hapa tutajua Nani kaonana na Nani
Poll nyingine ni duh!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣Kama sifa hizo ni za Leejay49 AOLEWE si tunataka Mrembo akivaa swimmingsuit tuone hips
Tuone shape ya manati[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hata unaweza ku geuss kwa bibi ni paleeeee.
Mrembo atakayeenda social media competition kama Insta, Fb, badoo n.k
Sifa hizo hapo ana Demi
Lakini hapo awepo@Tayana-wog , Joanah na wale nimetaja.
Hao mtapiga sana kampeni. Hawauzikiiii
Wee@GENTAMYCIME hela yako italiwa na wajumbe tu
🤣🤣🤣🤣🙌JfYaani hao waliorodheshwa kuwa walimbwende wenyewe wanaona aibu.
Mengine madume,mengine manTomm and Jerry wengine maajuza.Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
Anataka kupiga Goli la Nape alilopiga bafuni akavunjika mkono alopigia.Acha nyege unajengaje taswira kwa kitu usicho kijua na ukakipa point? Ila nisiseme sana ngoja waje wanaowajua
Bi Tozo huyu wewe.Kura yangu ni kwa shombeshombe la kiajemi FaizaFoxy
Sa mbona mie sipo kwenye umiss, wengine sie vi-ajuza ujue😀.