Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Kura yangu amepata kwa vigezo hivi 👇👇
Asante Mkuu na hizo Characteristics zake kweli Dada Leejay49

GENTAMYCINE nikikupenda na nikikukubali jua kwa 99.999% uko vizuri na Utafanikiwa kwa lolote lile.

Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Who forces you to Vote? Stop wasting our time please Okay?All the Intellectuals and Critical Thinkers ( Including I GENTAMYCINE ) confidently are going to Vote for a Pretty,. Photogenic and very Intelligent Lady Leejay49
Motherfu**in intelligent lady, I can't stop to help while I see the crowd of the blinds led by GENTAMYCINE are going in to a wrong way
 
Aolewe . 2024 usiishe bila
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri

Aolewe. 2024 usiishe bila kuteeeenda muujiza🎼🤣
 
Asante Mkuu na hizo Characteristics zake kweli Dada Leejay49

GENTAMYCINE nikikupenda na nikikukubali jua kwa 99.999% uko vizuri na Utafanikiwa kwa lolote lile.

Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
Nakubali sana huyu leejay anastahili hii sana tuzo. Huyu FaizaFoxy sio mrembo ameshazeeka kama vipi ajitoe tu amwachie huyu Miss Leejay49
 
Endeleeni kujichanganya himu hakuna mwanamke hata mmoja shauri yenu, himu kuna wanaume na wasiojuulikana basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom