Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

Miss Jf2024: Nani Mrembo kuliko wôte humu JF

  • 1. Midekoo

    Votes: 11 7.9%
  • 2. Palina

    Votes: 9 6.4%
  • 3. Binti kiziwi

    Votes: 15 10.7%
  • 4. Kapeace

    Votes: 14 10.0%
  • 5. Mamndeny

    Votes: 8 5.7%
  • 6. Evelyn salt

    Votes: 30 21.4%
  • 7. Lovie Sundy

    Votes: 7 5.0%
  • 8. To yeye

    Votes: 27 19.3%
  • 9. Kalpana

    Votes: 6 4.3%
  • 10. Numbisa

    Votes: 13 9.3%

  • Total voters
    140
  • Poll closed .
Lazima niumbuke wakisema tuweke picha,na ubonge huu😭
 
Jamani iilitakiwa kila jukwaa litoe miss wao halafu ndio wadhindanishwe…. Sisi jukwaa la stress free tuna uzi wetu pendwa wa selfika na miss wetu wa muda wote shangazi yupo na nna uhakika hiki kinyang’anyiro hakuna anayemfikia 😹😹😹😹

Si eti Nkamu Saint Anne 🤣😹😹
 
Shindano lijalo tupate na kapicha kabisa
 
Nishasema mi ni msela sasa ndo umefanyaje tena,, nabadilika kutokana na uzi,
 
Nishasema mi ni msela sasa ndo umefanyaje tena,, nabadilika kutokana na uzi,
😹😹😹 msela hiyo kwiyoo
Yani naingia nakutana na shindano na mahi wangu upo weweeeee.!!! 🤸‍♀️🤸‍♀️

Jamani kura zote kwa kapeace hiki chuma kikali… kisu cha kwendea.
Achaneni na wapigania uhuru 🤣😹😹

Ila mliokuwa nominated karibu wote nawaelewa sa itakuwaje jamani?!! 🥹

To yeye
Binti kiziwi
Mideko
Evelyn salt (Bro wangu 😹)
Kalpana
Wote washindi na warembo 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…