Mitambo ya Bwawa la Mtera yapata hitilafu, mikoa 14 kukosa umeme

Hapo kipara February ameshafanya kazi yake ya udalali wa gesi. Kesho au keshokutwa EWURA wanaongeza bei ya mafuta alafu huku mgao wa umeme, mtanunua tu gesi
 
Ujinga ndio unakusumbua huwezi hata ku reason..

Kwa hiyo kama Chanzo au njia/line kuu ya kupeleka umeme huko imepata shida Kwa nini mikoa isiathirike?

Ujinga ni mzigo Sana ndio unakusumbua.
Tuliambiwa kipindi cha Magufuli kulikuwa hakuna maintainance inafanyika, baada ya kuingia Makamba hizo maintance zinafanyika na bado mitambo inapata hitilafu

Makamba ni mpiga dili tu
 
Aiseeeee haya mambo yanatia hasira natamani ningekuwa king Kong nikachakaze kila mbuzi ya kijani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watasema tanesco iliachwa na madeni makubwa ambayo riba yake imekuwa kubwa
 
We Jamaa eti Februari Marope 😂😂😂 nimecheka nusu kufa ungekumbwa na murder case
 
Tuliambiwa kipindi cha Magufuli kulikuwa hakuna maintainance inafanyika, baada ya kuingia Makamba hizo maintance zinafanyika na bado mitambo inapata hitilafu

Makamba ni mpiga dili tu
Ni kawaida,wewe kirikuu yako huwa haiharibiki?

Harafu saizi mahitaji ya umeme ni makubwa Sana tofauti na kipindi kile..

Ukiwa Waziri wewe umeme hautakatika?
 
Hii nchi imepitia mengi
 
Ujinga tuu huu hapa, kuna mitambo isiyoharibika?

Hicho ki kirikuu chako huwa hakiharibiki?
Wewe ni wa kupuuzwa tu huna hoja, watu wanazungumzia mambo yanayowasibu wewe unaleta uchawa wako tu kwa vile ni kula kulala kwa dadako hujui hata bei ya sukari

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Juzi mfumo wa luku leo ttzo la umeme
 

Mbona kama mkakati wenye nia ovu?
Inawezekanaje Mkoa wa Dodoma ambao uko karibu na Mtera usiathirike hata kwa mbali? Au kwa sababu kuna Rais mahala hapo mnaogopa kelele mnaona muwanyooshe walio mbali ili dili za mafuta ziende fresh??

Msogalino maiti zenu zitachapwa viboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…