Mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa chanzo kikubwa cha stress na msongo wa mawazo kwa vijana

Mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa chanzo kikubwa cha stress na msongo wa mawazo kwa vijana

Umesema kweli mkuu.
Mie kisa changu, wakati niko chuo cha hoteli menejimenti, tulikuwa na kundi sogozi (group) la darasa letu. Sasa mtihani wa semester ya mwisho kabisa ya kozi yetu nikawa ninatakiwa kufanya mtihani wa kutimiliza (supplimentary), yaani kila nikikumbuka siku ile matokeo yalivyotoka, watu ambao hawana supp, wakawa wanatupia picha za majoho wanasherekea kuwa tayari wamekamatia vyeti vyao. Sasa hapo mie ndio nina supp sijui kama nitaitoa au ndio nita i carry nisihitimu mwaka huo husika. Ilikuwa kila nikiona watu wanavyoshangilia kwenye group mie nasononeka, mwishowe nili left kwenye group.
 
Sana unakua unamuumiza kisaikolojia
Ila mara nyingine bora kuuchuna tu, maana unaweza kujikuna upele tu kumbe kidole unachotumia kujikuna kina pete ya dhahabu tayari kama mtu ana roho nyepesi anakwazika.

Pia mara nyingine ishi maisha yako bila kujali watu.

Nakumbuka tulivyokuwa sekondari, siku moja nimekaa na machizi, basi mshkaji mmoja akawa anaondoka anaenda nyumbani.

Nikamwambia nitakupigia simu baadaye (enzi hizo land line kabla ya mobile). Tulikuwa na kawaida ya kupigiana simu mara kwa mara kwa sababu tulikuwa marafiki halafu majirani.

Basi jamaa alimind sana.

Akaniambia ulichofanya si poa, pale umekaa na washikaji kibao kwao simu ni kitu wanachotamani sana kuwa nacho kwa mawasiliano ya muhimu, lakini hawana, halafu wewe umesema utanipigia kupiga story tu.

Nikasema this is too much. Siwezi kujichunga kila ninalosema na ninalofanya ili nisimkwaze mtu tu.

Kuna watu wengine hata ukiwasalimia tu watasema, usipowasalimia pia watasema. Ukiomba mchango wa harusi watasema kila siku michango, ukisema harusi yangu sitaki mchango watasema unajivuna.

So sometime just live your life.
 
Kiduku Lilo ni hazina ya taifa. Serikali ikipungukiwa kwenye bajeti huwa inamfuata kuchukua mkopo.

Watu wenye mtizamo wa maisha kwa namna hiyo wanafaa sana. Ukiwaza kitajiri lazima mambo yako utayapeleka kitajiri, ukijijaza na mambo ya kifukara mtazamo wako kwenye kila kitu utakua hivyo hivyo.
 
Watu wenye mtizamo wa maisha kwa namna hiyo wanafaa sana. Ukiwaza kitajiri lazima mambo yako utayapeleka kitajiri, ukijijaza na mambo ya kifukara mtazamo wako kwenye kila kitu utakua hivyo hivyo.
Nilikuwa na option ya kununua tairi la gari la bei rahisi na la bei ghali.

La bei rahisi likipata pancha unaweka gari pembeni barabarani, unabadili tairi au unaita breakdown.

La bei ghali lina mechanism ya kupeta kama maili 50 baada ya pancha, linakufikisha nyumbani au gereji unabadili vizuri.

Nikasema ngoja niende na la bei ghali lililo salama zaidi, ingawa bei yake si mchezo.

Na kweli, juzijuzi kuna siku nimekanyaga kisumari gani sijui, dashboard ikaniambia upepo umepungua sana. Lakini nikapeta mpaka home, nikafika gereji, nikabadilisha tairi salama.

Ningefikiri kimasikini ningeweza kuingia gharama zaidi.
 
Ila mara nyingine bora kuuchuna tu, maana unaweza kujikuna upele tu kumbe kidole unachotumia kujikuna kina pete ya dhahabu tayari kama mtu ana roho nyepesi anakwazika.

Pia mara nyingine ishi maisha yako bila kujali watu.

Nakumbuka tulivyokuwa sekondari, siku moja nimekaa na machizi, basi mshkaji mmoja akawa anaondoka anaenda nyumbani.

Nikamwambia nitakupigia simu baadaye (enzi hizo land line kabla ya mobile). Tulikuwa na kawaida ya kupigiana simu mara kwa mara kwa sababu tulikuwa marafiki halafu majirani.

Basi jamaa alimind sana.

Akaniambia ulichofanya si poa, pale umekaa na washikaji kibao kwao simu ni kitu wanachotamani sana kuwa nacho kwa mawasiliano ya muhimu, lakini hawana, halafu wewe umesema utanipigia kupiga story tu.

Nikasema this is too much. Siwezi kujichunga kila ninalosema na ninalofanya ili nisimkwaze mtu tu.

Kuna watu wengine hata ukiwasalimia tu watasema, usipowasalimia pia watasema. Ukiomba mchango wa harusi watasema kila siku michango, ukisema harusi yangu sitaki mchango watasema unajivuna.

So sometime just live your life.
Hahahahahahhahahaha mkuu eti nikijikuna[emoji23][emoji23][emoji23]
kumkasirikia/kumfanyia kinyongo mtu alie nacho hio sasa ni roho mbaya..
Mimi binafsi ni kwamba kama natamani kitu katika maisha yangu mtu akiwa nacho simchukii/roho hainiumi kwa ajili yake
Ila kuna hali inakuja kuwa ivi mimi ntapata lini/hivi kuna uwezekano kabisa siku nikawa nacho..naamini kadri tunavyowabariki wengine na sisi tunabarikiwa
 
Unavyosema wewe ni jambo la kawaida kabisa. Na pengine hiyo ni chachu ya maendeleo. Na pengine hata hao wanaojionesha nao ni chachu ya maendeleo.

Wenyewe wanasema "fake it until you make it".

Ila kwangu mimi nimeamua kuweka mbele mambo ya experiences zaidi, bila kupost post.

Hata picha kupiga ni nadra sana.

Kuna watu wanateka siku hizi.
 
Hahahahaha na watakuteka kweli
 
Mimi niliacha kupost. Siku hizi napost kuhuzunika mtu ninayempenda akifariki tu.

Au maneno ya faraja siku za kukumbuka wagonjwa hivi. Mambo yasiyo na ubishoo.

Unaweza kupost shoe rack ina viatu vikali 600, wakati mtu anaangalia huku kavaa ndala zimetoboka kwa msoto.

We jamaa uliwahi kupost chumba kimejaa Perfume, ulinichanganya sana.

Mpaka nikawaza kama huyu jamaa assets zangu zinazidiwa na dressing table ya perfume tu, sasa mimi naishi ili iweje!

Hata hivyo nikasema niichukue kama changamoto, I thank God things look greener now.
 
Pole sana Mkuu
Umesema kweli mkuu.
Mie kisa changu, wakati niko chuo cha hoteli menejimenti, tulikuwa na kundi sogozi (group) la darasa letu. Sasa mtihani wa semester ya mwisho kabisa ya kozi yetu nikawa ninatakiwa kufanya mtihani wa kutimiliza (supplimentary), yaani kila nikikumbuka siku ile matokeo yalivyotoka, watu ambao hawana supp, wakawa wanatupia picha za majoho wanasherekea kuwa tayari wamekamatia vyeti vyao. Sasa hapo mie ndio nina supp sijui kama nitaitoa au ndio nita i carry nisihitimu mwaka huo husika. Ilikuwa kila nikiona watu wanavyoshangilia kwenye group mie nasononeka, mwishowe nili left kwenye group.
 
Mwenye nacho na awe nacho.....
asienacho atulie tu no harm....
tunapaswa kufahamu kwamba hatufanani kama vidole vya mkononi......
hakuna haja ya kuchukia yule aliyebarikiwa
kwa sababu anayetoa ni mmoja huyo huyo...
....aliyekupa ww gunia la sukari.....ndio ameninyima mimi hata kijiko kimoja kidogo cha sukari.....
hesabu zote kapiga yy
 
Yes ni kweli ila kaa wengine sio rahisi kama unavyofikiria wewe
Mwenye nacho na awe nacho.....
asienacho atulie tu no harm....
tunapaswa kufahamu kwamba hatufanani kama vidole vya mkononi......
hakuna haja ya kuchukia yule aliyebarikiwa
kwa sababu anayetoa ni mmoja huyo huyo...
....aliyekupa ww gunia la sukari.....ndio ameninyima mimi hata kijiko kimoja kidogo cha sukari.....
hesabu zote kapiga yy
 
Kanuni 10 za kushinda sononeko katika mitandao ya jamii.

1. Usijilinganishe na watu wengine. Jilinganishe na wewe mwenyewe wa kabla. Kuna mtu mwanamme alimzidi mshahara mwanamke kazini, akashangaa huyu mwanamke mbona anavaa nguo za fahari, ana gari la fahari, wakati namzidi mshahara? Kumbe mwenzake anahudumiwa na mumewe.

2. Furahia mafanikio ya wenzako. Kuwa na kijiba cha roho kwa sababu mwingine kafanikiwa si tabia mbaya tu, ni tabia inayokupa sononeko lisilo na sababu.

3. Badala ya kusononeka watu wengine wanapofanikiwa, jaribu kutafuta sababu za mafanikio yao. Kuna watu wengine wanaonekana wamefanikiwa lakini wamefanya mambo ya aibu kama umalaya na kuuza madawa ya kulevya. Kwangu kupata hela kwa njia hizo si mafanikio.

4. Tambua si kila anayeonekana kafanikiwa amefanikiwa kweli, na si kila anayeonekana hajafanikiwa hajafanikiwa. Waingerwza wanasema "everything that glitters, is not gold". Kuna watu wanajua kujiweka kama wamefanikiwa katika mitandao ya jamii, wakati hawana lolote. Halafu kuna kina Said Bakhressa kuwaona mitandao ya jamii wanajitapa ni kazi sana.

5. Tumia muda mwingi zaidi katika kufanya shughuki za maendeleo, kusoma, kufanya kazi, kufanya biashara na kadhalika, zaidi ya kuangalia mitandao ya jamii.

6. Pambana na hali yako. Kama unataka mambo makubwa, fanya utafiti wa kitu kipi kitakutoa na kukupa kipato na nafasi ufanye makubwa.

7. Ukishindwa kabisa kubadili hali yako, kubali ukweli na kubali maisha yako. Ukiwa na tamaa kamwe huwezi kutoaheka hata uwe mfalme wa dunia utataka utawale na Mars. Ukiwa mtu wa kuridhika unaweza kuwa na amani kwa shamba lako dogo tu. Inawezekana mwenye kidogo akaishi kwa amani kuliko mwenye kingi.

8. Elewa kwamba kujionesha sana mitandao ya jamii kuna ku expose kwa mengi. Kuna wezi wanaangalia nani ana mali gani tumuibie, kuna madanga yanataka kufuatikia watu, kuna ma hackers wanataka ku hack na ku blackmail. Wanaojionesha sana mitandaoni wana ji expose kwa wote hao.

9. Tambua mitandao ya jamii ni chanzo cha wivu na magomvi mengi katika jamii. Wanaojinadi sana wanapata magomvi sana.

10. Tambua watu wengi huheshimika sana mpaka wanapoonekana upumbavu wao kwenye mitandao ya jamii. Unavyozidi kutumia muda kwenye hii mitandao na kuipa nguvu, ndivyo unavyozidi kuanika upumbavu wako.
Umeongea point kubwa sana
 
Nilichokigundua utakuta wale ambao mara nyingi wanapost picha za kuonyesha furaha na kuwa na Mali Kwenye social media ndio hali halisi ni kinyume chake.
Ukiona mtu anaweka sana picha ya Me/Ke na kuonyesha jinsi gani anampenda mkewe kiuhalisia wapo Kwenye ugomvi mzito.
 
Hahahhaaa mitandao inawafanya wadada wengi wamekuwa inferior
Akiangalia wadada wenzake wanapost wapo soft
Chuchu saa sita
Kiuno nyigu

Halafu yeye akijitizama ni kama mimi basi anapoteza ujasiri,
Anaanza kumuabudu mtu na editing apps !

Kumbe you're beautiful the way you are!
 
We jamaa uliwahi kupost chumba kimejaa Perfume, ulinichanganya sana.

Mpaka nikawaza kama huyu jamaa assets zangu zinazidiwa na dressing table ya perfume tu, sasa mimi naishi ili iweje!

Hata hivyo nikasema niichukue kama changamoto, I thank God things look greener now.
That's the spirit my man.

Zile colognes kwa sasa zimezidi mara mbili.

Nilikuta watu wanaongelea perfumes na colognes, na mimi kama kawaida yangu si mgumu wa kuchangia kwenye hoja ninayoipenda.

Na tangu siku ile sijawahi tena kupost zile picha.

Maana ilikuwa mpaka Nyani Ngabu mtu wa ma cologne hajaamini kama picha ya kwangu, alifikiri nimeiokota kwenye internet.

Na mimi nilijua watakuwapo watu wa kuhoji, kwa hiyo nilivyopiga picha niliweka kikaratasi nimeandika "Kiranga".

Nikamwambia Nyani Ngabi hebu zoom katikati ya picha chini utaona salamu zako hapo.

Mwenyewe alizima fegi, alimeza moshi na kuutolea masikioni.

Jivin'.
 
Back
Top Bottom