Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Kuna watu wanaviburi sana. Hata usemeje hawawezi kuelewa. Wanasema kusikia kwa kenge ni hadi damu imtoke puani.
 
Bora Mama aachane na washauri wake na arudi kwa Mumewe achukuwe ushauri wa Mr Hifadh na mtaona Nchi itakua Safi Kama kipindi Cha Mzee Rukhusa!!
Ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] sasa hatima ya inchi itakuwa inajadiliwa kitandani?!
 
Huu ni mtandao gani?!
 
hata msukule ukimfungia muda mrefu ndani afu siku ujichanganye uingie bandani haaa lazma upate mimba tena ya mapacha,iko siku ambayo haina tarehe watanzania wataamka tu yan,it's a matter of time tu
Watanzania wepi hao ,wamitandao au ? Lipeni Kodi,acheni kuitisha serikali,mkihurumiwa mnasema serikali imewaogopa.
 
Mods mshanibadilishia heading yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nyie jamaa ni wadwanzi sometimes kudadadeki zenu..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi nikuulize. Ni nani alipandisha hizo bei na gharama ambazo raia wanalalamika?!

Si ni serikali?!
Serikali inataka kodi.

Hazina hakuna pesa, miradi ipo mikubwa, wafanyabiashara walishakamuliwa hawana cha kutoa labda uwafilisi wote, deni la taifa ni kubwa, bado nchi inataka maji, umeme, barabara n.k

Ni Kukubaliana tu na hali kama wafanyabiashara waliofungiwa account zao huko nyuma walivyokubaliana na hali.

Tulipe tozo mpaka serikali itakapopata mbadala. Tunataka matajiri waishi kama mashetani halafu katozo kadogo tu tunatoa makamasi.
 
Bora Mama aachane na washauri wake na arudi kwa Mumewe achukuwe ushauri wa Mr Hifadh na mtaona Nchi itakua Safi Kama kipindi Cha Mzee Rukhusa!!
Yaani taasisi ya urais iendeshwe kwa mawazo ya mke na mme? Unajua humu watu ni watupu Sana kichwani mwao,wanadhani nchi Ni familia ,
 
Nahisi wamesoma comments za raia mitandaoni wameona yajayo yanatisha jinsi namna raia walivyowaka na kumind na kujiandaa kutoa mitusi.

So wameona mmmmmmhmn hapa kitanuka tusiwajaribu hawa jamaa.....
Ni vile hawajaamua, sisi wenyewe tunaongeaaaa tu halafu basi
 
Unajua hii haijakaa sawa kabisa na sio nzuri kibiashara. Haya ndio madhara ya kuchanganya siasa chafu za chama kisichojitambua uelekeo wake kiutendaji na shughuli serious za kiuchumi. View attachment 1893695
We jamaa halafu mimi hiyo text hawajanitumia, au wanachagua? Wanaangalia nyie mnaoongea ongea sana sisi wanyonge wanatuacha tunyongeke??
 
Mods mshanibadilishia heading yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nyie jamaa ni wadwanzi sometimes kudadadeki zenu..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama vipi waendee kwa babu
 
Dikteta alifilisi Nchi, mama amekuta hazina nyeupe, we jinga huna ujualo kaa kimiya
Wanyonge wa mitandaoni wanafurahia tajiri akifungiwa account akafilisiwa akawa kama shetani ila wao wakipewa kakodi kadogo tu kamasi kama zote.

Nchi inataka kodi hii, na wafanyabiashara walishakamuliwa wana madeni ya kodi mengine hayalipiki, deni la taifa ni kubwa, miradi mikubwa sasa tunatoa wapi pesa? Wanyonge ni kujichanga changa mpaka kuwe na maelewano.
 
Uongo mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…