Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

Mimi najua mama ndio kawafuata. Na hizo habari ninazo. Na kuna uwekezaji mwingine Elon atakuja kuwekeza Tanzania.
Tuseme tu ukweli mama yetu ni mtafutaji.
Weka udhibitisho...
Anyway km mmeweza kuwafuata hao kwann hamjawafuata Amazon AWS, Microsoft Azure, Oracle, Cisco, digitalOcean, Linonde and the Likes wakafungua DataCenter bongo instead of Kenya....

Starlink is coming to EAT sio tu Tanzania, vp na huko kwingine mama ndo aliwaombea au walijiunga wote wakaenda kuomba?

Narudia tena kuna sifa na kuna sifa za kijinga..tusimfungamanishe mama yetu na sifa za kijinga kwakua tu tumeweka no ili tuonekane wakati wa Teuzi...hatumsaidiii zaidi tunamshusha mbele ya watu wenye hekima zao.
 
Kwani tajiri namba moja duniani ni nani? Elon ana mambo mengi ya kuwekeza katika taifa letu boss.
 
Weka udhibitisho...
Anyway km mmeweza kuwafuata hao kwann hamjawafuata Amazon AWS, Microsoft Azure, Oracle, Cisco, digitalOcean, Linonde and the Likes wakafungua DataCenter bongo instead of Kenya....

Starlink is coming to EAT sio tu Tanzania, vp na huko kwingine mama ndo aliwaombea au walijiunga wote wakaenda kuomba?

Narudia tena kuna sifa na kuna sifa za kijinga..tusimfungamanishe mama yetu na sifa za kijinga kwakua tu tumeweka no ili tuonekane wakati wa Teuzi...hatumsaidiii zaidi tunamshusha mbele ya watu wenye hekima zao.
Kila mtu na sahani yake ya ugali.
 
Hiyo ni namba ya ofisi boss.
Kama atahitaji maelezo ya ziada na amebanwa na kazi, naona ni vizuri umpe namba zako ili akutafute hata nje ya muda wa kazi, kwani akifanya hivyo atakuwa na uhakika wa shida zake kupatiwa majibu sahihi kwa wakati kwasababu ukiwa kama mfanyakazi wa hiyo kampuni, naamini unazo data zote za ofisini.
 
Mkombozi kwenye maswala ya Internet Elon Musk kasikia kilio, anakuja kufanya mapinduzi kwenye UPANDE WA INTERNET TANZANIA

SWALI:
TCRA na Nape hawata mbana mpka ashindwe ku deliver alichotaka?

Asiuze internet kwa unlimited auze kwa data caps?

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Wapi kasema sera za sa100 zimemvutia, mmejaribu kufatilia hoyo starlink?
Hahahaha mkuu kumbe na wewe umeshangaa jamaa sera yake ni kusambaza internet Dunia nzima kwa bei nafuu mtu analeta sera za samia
 
Tajiri mwenye vituko bilionea Elon Musk amevutiwa na mazingira ya uwekezaji Tanzania.
Kampuni yake ya Starlink kufanya uwekezaji mkubwa kuanzia Mwaka 2023.

Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara ambaye pia ni mmiliki wa mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchi Tanzania kati ya Januari na Machi 2023 endapo itaruhusiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Jabiri Bakari amethibitisha kuwa kampuni hiyo ya Starlink ilituma maombi ya kutoa huduma ya intaneti nchini kupitia tovuti ya TCRA.

Wadau mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu huduma hiyo akiwemo mchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Abel Kinyondo ambapo amesema ikiwa huduma hiyo itafika nchini itasaidia wakulima kupata habari kuhusu hali ya hewa na jinsi wanavyoweza kuboresha mazao yao, pia itawasaidia wafanyabiashara kufanya biashara zao mtandaoni na kupata mafunzo yanayokusudiwa.

Teknolojia hiyo ya intaneti inapatikana baada ya kuunganishwa kwa satelaiti nyingi ambazo hutumika kutoa huduma ya intaneti kwenye maeneo mbalimbali duniani hasa vijijini.

View attachment 2420791
Ngoja nikuulize twita Kama Ni kweli labda Ni swaga
 
Mbona kachelewa mozambique na nigeria walitangulia bila shaka halihusiani na sera nzuri maana ataisambaza almost africa nzima
 
Back
Top Bottom