Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

Coudrey ambaye alimshauri Elon kuileta Starlink Afrika Mashariki hususani Tanzania ili Watu wawe na internet ya uhakika ya kuwawezesha kupata taarifa na kuwa na kesho iliyo bora ambapo Elon alinukuliwa akijibu “Tunasubiri kibali kutoka Tanzania”

Kwa upande wa Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Nape Nnauye ambaye Watanzania wengi walimtag kwenye tweet hizo ili kupata kauli yake alinukuliwa akisema “Walishajibiwa siku nyingi wana documents wanatakiwa kukamilisha ili mchakato uendelee, hawajakamilisha documents”

Hua najiuliza yule jamaa aliemtolea nape bastola kipindi cha magu kwanini hakumtwanga ya kichwa moja tu akatuondolea hili tatizo nape hua ukiigusa mitandao voda Airtel tigo halotel atawatetea kufa kupona usitegemee Elon musk Safar Yake iwe nyepes kuingia bongo na nape akiwa hapo
 
price ya star link nigeria ni 43 usd per month for unlimited data ni kama 100k ya kibongo . Speed yake 50- 200mbps . Kwa tz . Hii ni cheap . Na hardware price ni 600 usd . Kama 1.3m . Mkichanga kitaani na office use mnaishi
 
Rostam atapambana kuwazuia hawa

Rostam initially atapambana, but with time hataweza kushindana au kuzuia technology sbb hii gharama ya star Link ni watu wenye uwezo hapa Tz ndio watanunua, vyuo na institution binafsi nyingi etc.

Wananchi wa kawaida itakuwa ngumu kwao kwa gharama hizo, but it is a must have Internet, hiyo ni nzuri sana, hasa wakiweza unga kwa home na mobile devices kwa package hiyo moja ukilipia. Sbb kwa speed hiyo huhitaji line ya simu tena kupiga/to make calls, utatumia internet kila kitu, that looks good.
 
Wanaoitaka starlink ije wengi wao hawana uwezo wa kuihudumia. Hiyo ni nzuri kwa watu ambao wako remote areas, hapa mjini hata vodacom kwa 120,000 unapata unlimited 30Mbps
Kumbe hujui TTCL 200,000 unapata 100mbps
 
Wanaoitaka starlink ije wengi wao hawana uwezo wa kuihudumia. Hiyo ni nzuri kwa watu ambao wako remote areas, hapa mjini hata vodacom kwa 120,000 unapata unlimited 30Mbps
One starlink dish linaweza kuunganisha mpaka 128 devices full speed 105Mbps kwa wakati mmoja, sasa kwa dollar 99 kwa mwezi kwa matumizi ya watu 128 full speed mwezi mzima mbona ni bei rahisi sana compared na hao vodacom, sehemu kama vyuo au businesses zitafaidika sana, hii itakuwa mkombozi kwa wengi na ikitumiwa vizuri bila kuingiliwa na kina Nape na walamba asali wenzake itafanya internet iwe bei rahisi sana, tusubiri
 
Sio 99 usd ni 43 usd in africa
 
Wakizingua tunaichukua..
IMG_1642.jpg

IMG_1641.jpg
 
Hiyo ngoma inaenda kudondokea Kenya au Rwanda, si mnakumbuka hata deal la Volkswagen lilivyosepa mbele ya Macho yetu?
Tanzania huwa wanadhani ukianza mchakato basi tayari umesha win.
Kenya na Rwanda wao huwa hawaamini hivyo, ndiyo maana tunawaona Kenya pamoja na mikataba yote na ujenzi kuanza lakini bado wanalipambania bomba la Mafuta wakiamini kuna lazima tutabugi tu halafu bomba lihamishiwe kwao na lililoanza kujengwa kwetu tubaki kulitumia kupitisha maji kutoka ziwa Victoria

Rwanda tayari. Bado Kenya.
 
Coudrey ambaye alimshauri Elon kuileta Starlink Afrika Mashariki hususani Tanzania ili Watu wawe na internet ya uhakika ya kuwawezesha kupata taarifa na kuwa na kesho iliyo bora ambapo Elon alinukuliwa akijibu “Tunasubiri kibali kutoka Tanzania”

Kwa upande wa Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Nape Nnauye ambaye Watanzania wengi walimtag kwenye tweet hizo ili kupata kauli yake alinukuliwa akisema “Walishajibiwa siku nyingi wana documents wanatakiwa kukamilisha ili mchakato uendelee, hawajakamilisha documents”

Wahusika watakubalu sasa 🤣🤣🤣🤣
 
Hivi huyo jamaa si aiingize kibabe tu juu kwa juu, hawa CCM na watu wake hawana akili ya kuzuia akili kubwa wao wanajua tu kutumia nguvu(polisi)
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom