Mitego ya Mitandao: Changamoto za Online Dating ukiwa Mtu Mzima (Umri 30+)

Hivi ni kwanini wrong number mostly zinapatikana na zinakuwa ni jinsia pinzani? ๐Ÿ˜‚
 
Sofa ndio litakufaa.. Karibu๐Ÿ˜†
Acha tu broski! 2022
Niliachwaga nikawa na stress ya kimbwa! Ndio mpaka leo nimekuwa sugu..

Nikasema hapa kupoza haya maumivu nidownload tinder then nichat na vijana nitakaa sawa, lol!

Unakutana na mkaka anakwambia umfanyie pegging akulipe!

Lesbian naye anataka akuhamishie huko na akulipe!

Wala visamvu sasa mtu yuko tayari kutoa hata laki3 mwingine anakuahidi gari.. (sijui siri hapa ni nini๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ)

Mwingine anataka kukuomba pesa tuu

Mwingine anakulazimisha akununue

Bado kuna wale the wanna beโ€™s( wanajifanyaga wapo tu kule hawana mambo mengi watakuahidi hata ndoa, kumbe wana hook vizuri tu)

Ila, all in all sitotumia tena hii mitandao!๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Kiboko ya yote ni badoo๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ kule nadhani ndio shetani kaweka HQ yake๐Ÿ˜†
 
Kiboko ya yote ni badoo๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ kule nadhani ndio shetani kaweka HQ yake๐Ÿ˜†
Badoo sijawahi kuitumia ila tinder๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Simshauri mtu mwenye utimamu ajiunge na hayo makundi, kwanza hata mindset inabadilika hata in real life unakuta mtu hawezi kuongea kama mzima, anakuwa kashaathirika vibaya!
 
Jamani, ile ni mitandao ya kuuza na kununua. Mbona simple tu, ukienda kule it's either ni mnunuzi au mmuzaji au unataka kuona mauzo na manunuzi yanavyofanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ