Nilikuuliza swali ili upate jibu lako , kitendo Cha Allah kuweka mtu mwingine watu waliomsulubisha waliona kama ni original au waliona ni fake?Hili ufafanuzi wake unakuja na jepesi sana.
Utaweka hilo andiko umelipata wapi kisha uchambuzi nitakupa.
Turudi katika nukta ya msingi, ya maswali yangu mawili :
1. Nitajie watu watano tu walio shuhudia Yesu akisulubiwa kama mnavyo amini.
2. Yohana mnasema ni Mtume, nani alimpa utume na habari za Yesu Yohana alizipata kwa nani ?
Kwa nini unakwepa nondo zanguHuo mwili uliolaaniwa ulikuwa wa shetani hadi useme unayemuabudu hana mwiliπ? Wote wamelaaniwa.
Huyo aliyetundikwa msalabani ule ni mwili au sanamu? Umeanzisha pumba naona
Kijana jibu swali nilo kuuliza. Hilo nimeshalotolea ufafanuzi.Nilikuuliza swali ili upate jibu lako , kitendo Cha Allah kuweka mtu mwingine watu waliomsulubisha waliona kama ni original au waliona ni fake?
Hujatoa ufafanuzi wowoteKijana jibu swali nilo kuuliza. Hilo nimeshalotolea ufafanuzi.
Shida mnakwepa kutoa majibuUnapenda kurudia rudia
mada zile zile
Unaelewa nini ukiambiwa amefananizwa na mwingine ? Maana yake walio msulubu walijia huyo ni Yesu.Hujatoa ufafanuzi wowote
Jibu walio msulubisha waliona Isa original au fake ?
Sawa tumemaliza walio ona ni wakweli na Alie wafananishia ni muongo π biblia ni kweli tupuUnaelewa nini ukiambiwa amefananizwa na mwingine ? Maana yake walio msulubu walijia huyo ni Yesu.
Huo mwili uliolaaniwa ulikuwa wa shetani hadi useme unayemuabudu hana mwiliπ? Wote wamelaaniwa. Hakuna asiye na roho hapa. Hiyo John 8:12 tunapinga na Wagalatia 3:13 na Mwanzo 3:14. Mtu aliyelaaniwa aweze kuwa mwanga wa ulimwengu. Hiyo moja kwanza.Jibu hili kwanza
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, βMimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Jibu hili kwanzaHuo mwili uliolaaniwa ulikuwa wa shetani hadi useme unayemuabudu hana mwiliπ? Wote wamelaaniwa. Hakuna asiye na roho hapa. Hiyo John 8:12 tunapinga na Wagalatia 3:13 na Mwanzo 3:14. Mtu aliyelaaniwa aweze kuwa mwanga wa ulimwengu. Hiyo moja kwanza.
Tukija hapo hiyo moja Kwanza. Maana naona unatumia haya za mifano.
Nasi hatukukutuma ila uwe ni Rehema kwa walimwengu wote(Quran 21:107)
"Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu. Sifa njema zote ni za Mwenyeezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu.." (Kurani 1:1-3)
Nimekupa hapo mfano wa aya. Haina maana mtume ni Mungu kisa aya imesema ni rehma ya ulimwengu wote. Kwa hiyo kijana acha bangi.
Mifano kama ya kulaaniwa haiwezi kutumika kwa Mungu kama Wagalatia 3:13. Umesikia kijana. Naona unaleta bangi za kanisani
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: βYeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.β
Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, βKwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.
Nimeshakujibu tayari. Tunaendelea na somo. Kwa hiyo kijana uache bangi.Kwa nini unakwepa nondo zangu
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, βMimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Acha kuandika ukiwa umevuta mibangeKuombea mfu ni upagani, ni usheitwani!
YESU ndiye BWANA
Jibu hili kwanza
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, βMimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Tumalize tusiruke ruke , Yani umefikia maali unadai Allah na Muhamma wapo sawa πππππNimeshakujibu tayari. Tunaendelea na somo. Kwa hiyo kijana uache bangi.
Nataka unijibu aliyelaaniwa kwenye galatia 3:13 ni mwili wa nani?
Allah anakuwa anajisahau anataja Mungu mwingine πππππ"Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu. Sifa njema zote ni za Mwenyeezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu.." (Kurani 1:1-3)
Hauwezi kuelewa ikiwa biblia umelishwa matango pori. Tunarudi kwenye swali. Laana maana yake ni giza. Hata siku moja nuru haiwezi kuwa sawa na giza.Allah anakuwa anajisahau anataja Mungu mwingine πππππ
Eti Allah anaongea alafu anasema kwa jina la Mwenyezi Mungu πππ Muhammad ndio katunga hapo anajifanya ni Allah
Alie andika Koran alikuwa anashindwa kujiweka kuwa Mungu alikuwa anajistukia ππππHauwezi kuelewa ikiwa biblia umelishwa matango pori. Tunarudi kwenye swali. Laana maana yake ni giza. Hata siku moja nuru haiwezi kuwa sawa na giza.
Tunarudi palepale kutaka kujua kama kristo na shetani wote wamepewa laana.
Ukisingizia ni mwili. Mtu hawezi kukamilika hadi awe na roho na mwili. Roho ikiacha mwili maana yake umekufa. Huyo mnaomuabudu alikuwa na mwili na roho pamoja. Mnadai waroma walimpa kisago.
Inakuwaje mtu mwenye nuru alaaniwe?
Usiwe unakimbia maswali yangu kijana. Nataka unijibu kuna kulaaniwa nusuππ? Pia ukitoa aya usiwe unazikata. Mbona mi nakuwekea nzima nzima.Allah anakuwa anajisahau anataja Mungu mwingine πππππ
Eti Allah anaongea alafu anasema kwa jina la Mwenyezi Mungu πππ Muhammad ndio katunga hapo anajifanya ni Allah
Usikimbie swaliπ. Kwa nini mnamuabudu kiumbe kilicholaaniwa kama shetani? Kiumbe kilicholaaniwa maana kipo mbali na rehma ya Mwenyezi Mungu. Binadamu lazima awe na roho ili mwili ufanye kazi.Ipo wazi baba atatangaza
Rudi hapa Muhammad anadanganya wazi kabisa
Book 041, Number 7051: Anas reported that a person asked Allaah's Messenger, sallallaahu alayhi wa sallam, as to when the Last Hour would come. He had in his presence a young boy of the Ansar who was called Muhammad. Allaah's Messenger, sallallaahu alayhi wa sallam, said: If this young boy lives. He may not grow very old till (he would see) the Last Hour coming to you
Yani unaona kabisa kajitwalia laana unasema kalaaniwa utakuwa chiziUsikimbie swaliπ. Kwa nini mnamuabudu kiumbe kilicholaaniwa kama shetani? Kiumbe kilicholaaniwa maana kipo mbali na rehma ya Mwenyezi Mungu. Binadamu lazima awe na roho ili mwili ufanye kazi.
Kwa nini mnamuabudu mtu aliyelaaniwa kama shetani?
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: βYeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.β