Nilikuuliza swali ili upate jibu lako , kitendo Cha Allah kuweka mtu mwingine watu waliomsulubisha waliona kama ni original au waliona ni fake?Hili ufafanuzi wake unakuja na jepesi sana.
Utaweka hilo andiko umelipata wapi kisha uchambuzi nitakupa.
Turudi katika nukta ya msingi, ya maswali yangu mawili :
1. Nitajie watu watano tu walio shuhudia Yesu akisulubiwa kama mnavyo amini.
2. Yohana mnasema ni Mtume, nani alimpa utume na habari za Yesu Yohana alizipata kwa nani ?