Mbowe alipowasha moto wa kudai katib mpya aliitwa gaidi.

Huyu kaja na tume huru ya uchaguzi ataitwa nani?
 
Sawa Chief, ngoja tusubiri tuone litaishaje hili, muda utaamua
 
Kwa nini mnapenda kupinga, kukashfu na kubeza kila kitu, as long as kinatoka upande ambao hamkubaliani nao? Kwa style hii itachukua muda mrefu sana wapinzani kutoboa
Kwa upande wangu naunga mkono hoja ya mzee pinda bila kufanya prejudice ya dhamira yake.
Pamoja na Uccm wake lakini ni mmoja kati ya wanaccm wachache waliothubutu japo kutoa kauli ambayo iko kinyume na walafi wengi wa ccm.
 
Endeleeni kushupaza shingo, hamjifunzi, huku kushupaza shingo kwenu ndiyo kulisababisha tukose katiba mpya 2014
Wewe nawe unajibadili mithili ya kinyonga. Unajulikana wewe ni Taga Tena ccm chotara na mlipinga jitihada zote za kudai katiba mpya zilizoanzishwa na wananchi wazalendo wa nchi hii na Hadi Sasa mnawashikilia zaidi ya 189 kwenye magereza yenu! Leo unawageuka wenzako?
Pinda ni PM mstaafu na kaamua kutoka na hii singo baada ya Msuya na Warioba kutoa album zao Kwa bi mkubwa! Kaona isiwe kesi naye asikike Kama wenzake!
Swali ni je, ataweza kutembea na kuziishi bit zake au atabadikika Kama wewe?
 
Tuanze na mahakama huru.
Sio hii ambayo kila baada ya nusu saa jaji anatoa udhuru akapige simu na kupokea maagizo kutoka kwa mijitu isiyo jua Sheria.
Tanzania ya Leo anybody can be a judge. Si Ni suala la kupokea maagizo tu. Kinachohitajika uwe na kadi ya kijani
 
Tangu lini likawa jema? Si mnasema tume yenu ni huru Leo mnaongelea lugha za wapinzani?
Hii ni plan, huu ni mpango watatokea wengine kuunga mkono. Rais kiundani anapenda katiba mpya lakini kikwazo ni ccm conservatives. tatizo kubwa walionalo ni woga wa kuanguka kwa ccm. Yaani watailinda hatakama nchi inapata hasara ili mradi tu ccm isife.
Ccm kwanza nchi baadae. Uchaguzi wa 2020 na ule wa mitaa wa 2019 ni ushahidi tosha wa kuilinda ccm hsta kama ni dhambi.hata kama nchi ilipata aibu sawa tu ili mradi ccm ipone. This is the biggest problem the nation is facing. Terrible.
 
Kama ni kuandika katiba mpya na kuwa na tume huru ya uchaguzi basi waachiwe wananchi chini ya wataalam wasio wanasiasa kuifanya hiyo shughuli. Tukikubali tu wanasiasa hasa CCM wachukuwe uongozi wa kuandika katiba mpya tumekwisha. Mimi nina mawazo kama wewe. Pinda amesema haya kukiwa na mkakati maalumu nyuma yake. Hii ni baada ya kuona kila mtu analia tupate katiba mpya basi CCM wameamua kuvaa ''uongozi'' wa kufanya mchakato wenye manufaa kwao.
 
Pinda haaminiki nachojua ametumwa wawazubaishe watu, wale pesa za vikao na mtaona kama hayo maazimio yatafanyika

Pinda ni TISS mbobezi amekulia humo toka enzi ya nabii MUSSA!
 
Kwa nini mnapenda kupinga, kukashfu na kubeza kila kitu, as long as kinatoka upande ambao hamkubaliani nao? Kwa style hii itachukua muda mrefu sana wapinzani kutoboa
Wapinzani wajifunze kufanya negotiation kwa win win scenario kuliko kupata au kukosa kabisa....Tukikubaliana kwenye tume huru then tunaendea hatua ya pili ya katiba mpya
 
Wapinzani wajifunze kufanya negotiation kwa win win scenario kuliko kupata au kukosa kabisa....Tukikubaliana kwenye tume huru then tunaendea hatua ya pili ya katiba mpya

Tuhitaji the huru kuitisha katiba mpya kwa uhuru vile vile.

Ila the huru haisimamishi kudai katiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…