Kumbe kunauwezekano wa kuwapata wanaccm wenye akili!!
Tatizo ccm wanajua ikiwepo tume huru ya uchaguzi, wangi wao hawata toboa
 
Kwahiyo anafuta ile kauli yake ya "wapigwe tu"?
 
Umenena point tupu mkuu!
Na sisi kwa mtazamo wa mzee huyu imepaswa tuongoze gia ili tukoleze mwendo wa kuipata Tume huru ya uchaguzi
Vyama vya upinzani ikitokea ccm na serikali wako tayari kwenda kwenye dialogue kwajili ya kuboresha tume ya uchaguzi wasipoteze hii fursa washiriki kikamilifu.

CCM kwenye suala la katiba mpya wameshaanza kulegea
 
Mh πŸ€”πŸ€” ngoja waje MATAGA tusikie wanasemaje!!
 
Tume huru ya Uchaguzi sio kitisho sana kwa CCM

Kama Ccm inaweza kuwa na Wazalendo hadi ndani ya vyama vikuu vyenyewe vya Upinzani ndio itakosa 'Wazalendo' kwny hiyo Tume huru
Hujui maana ya uzalendo!
 
Uchunguzi wangu umebaini kwamba Mizengo Pinda ametumwa kujaribu kufifisha madai ya Katiba Mpya , huwezi kuwa na Tume Huru bila kuwa na Katiba mpya , katiba itakayomg'oa meno Mwenyekiti wa ccm
 
Mchakato ulishavurugwa na akina Lipumba, Slaa, Mbowe (UKAWA)
 
Hapo ndipo tunapofeli,

Rome haikujengwa kwa siku moja, lazima tuanze kujenga kimoja kimoja.
Unaponegotiate na mwenye madaraka, you ask for more, if you get less you take it then continue to strongly ask for the remaining part or more than what you asked before.

Huu mpango wa kukataa kila kitu eti tuendelee kusubiria for everything to be settled for once and all, itatuchukua karne.
Katiba mpya yes, you get tume huru in the process also is yes, now through tume huru you can get more MP's and then they can help to insist on katiba mpya.
 
Huyu Pinda kaongea hayo akiwa na akili zake timamu au amelewa?

#ukikaidiutapigwatu
 
Mzee nae snitch anaanza kuwapa mzigo wenzake yeye alikua wapi kipindi chake au hakufahamu hilo swala ni mhimu?
 
Mchakato ulishavurugwa na akina Lipumba, Slaa, Mbowe (UKAWA)
Haimaanishi kwamba ndo haiwezekanagi tena πŸ€£πŸ€£πŸ‘† hii kitu mnaiogopa kama ukoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…