Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Ni kweli aisee! Hawa wameua watu wengi kuliko huyo mmoja!
 
Shukurani sana mkuu, leo nimepata mwanga fulani kwa mbaaali
 
Jinga kabisa baada ya kusikitika na kuwaombea wazazi wako siku wakifariki......wewe upo bize na bichwa nundu jitu lenye roho mbaya JPM,lilale pabaya motoni
Usimpangie..!
Isije ikawa 'Jinga' ni wewe unayehangaika na kupangia watu wengine jinsi ya kufikiri/kuishi.
 
Sukuma gang. Rejection/denial disorder itawaua. Kubalini tu kwamba mzimu wenu ushaenda. Sasa ukijadili ndiyo atafufuka?

Au unadhani Mzena hospital walitupatia mgomba yeye bado wamemficha?
offbeat kaa kwenye mada huna point pita kimyakimya sio mpaka ucomment
 
Hakika ni kundi kubwa la watanzania linajiuliza hili swali.

Tuendelee kumuomba Mungu.

Malipo ni hapa hapa Duniani na huwa hayachelewi.

Ukiua kwa Upanga utakufa kwa Upanga siku zaja.
 
watu wamesahau Mpango aliponea tundu la sindano na akaambiwa aongee na media kuwa yupo salama huku analia............
 
Hakika ni kundi kubwa la watanzania linajiuliza hili swali.

Tuendelee kumuomba Mungu.

Malipo ni hapa hapa Duniani na huwa hayachelewi.

Ukiua kwa Upanga utakufa kwa Upanga siku zaja.
pia hata Tundu Lissu sijui bado malipo yaanasubiriwa au yalishajilipa au..............
 
Sukuma gang. Rejection/denial disorder itawaua. Kubalini tu kwamba mzimu wenu ushaenda. Sasa ukijadili ndiyo atafufuka?

Au unadhani Mzena hospital walitupatia mgomba yeye bado wamemficha?
We ni mwehu kwel yaan, pumbav kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…