BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Sasa wewe unataka kusema kitu gani, umesahau kwamba tulikuwa katikati ya janga la COVID-19?
Au kwa vile akili zenu zilipumbazwa na kudhani hilo gonjwa halikuwa hatari sana?
Nenda katafute vipimo vya kitaalam vya hao watu kama hawakuzuia visifanyike uone kama UVIKO haukuhusika katika vifo vyao.
Ninamsikitikia sana Mkapa, lakini asingefanya lolote kuepuka dhahma lililompata. Nampongeza sana Mzee Ruhsa, yeye kwa kudra za Mungu kasavaivu!
Sidhani Kama kuna mwanadam anaeweza kujibu hili swali , kifo ni siri yake muumbaKifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Na mission ilikuwa lazima afe mzee wa Lupaso kwanza kabla ya Mwamba, na ikawa hivyo maana angetangulia Mwamba akabaki mzee wa Lupaso pasingetoshaVilipangwa, mkakati, inner cycle, watu wa karibu, muhimu wote kuondelewa. Mfugale, kijazi, Waziri wa Majeshi,wote ilibidi wauliwe, Wafe.
Hata sasa ni hapatoshi, moto unafukuta sema wameufunika na chandarua, kuna muda utafika moshi utapenya tu kwenye chandarua na wote tutauonaNa mission ilikuwa lazima afe mzee wa Lupaso kwanza kabla ya Mwamba, na ikawa hivyo maana angetangulia Mwamba akabaki mzee wa Lupaso pasingetosha
Ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga. Magufuli ana mkono kwenye kifo cha Mkapa. Naye akapata dozi yake. Tayari Mkapa alikwisha toa msimamo wake kuzuia kubadili ukomo wa kipindi cha Urais cha vipindi 2 vya miaka mitani mitano. Aliandika kitabu na alinukuliwa mara kwa mara akipinga uchafu wa Magufuli. Hivyo Magu akamtanguliza BenKifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Ooh okeee! Kwahiyo na huyu Magufuli katangulizwa na nani sasa mtaalamu wa mambo?Ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga. Magufuli ana mkono kwenye kifo cha Mkapa. Naye akapata dozi yake. Tayari Mkapa alikwisha toa msimamo wake kuzuia maguguli kubadili ukomo wa kipindi cha Urais cha vipindi 2 vya miaka mitani mitano. Aliandika kitabu na alinukuliwa mara kwa mara akipinga uchafu wa Magufuli. Hivyo Magu akamtanguliza Ben
Hiyo ni mada inayojutegemea, subiri siku yakeOoh okeee! Kwahiyo na huyu Magufuli katangulizwa na nani sasa mtaalamu wa mambo?
Mkuu 'BakiliMuluzi'' hapana shaka yoyote juu ya Mahiga, Kijakazi, Mfugale, na hata huyo Kwandikwa kwamba ni gonjwa hilo hilo.Wacha weee..kwahiyo mahiga, kijazi, mfugale, kuandikwa nao ni gonjwa hilohilo? Na gonjwa lilipomalizana na hao tu likaisha na kuondoka Tanzania kabisa? Basi gonjwa hatari sana hili doh!
Kwa sababu Mwenyezi Mungu Aliamuq hivyoKifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Kati ya Nani na Nani!?Hata sasa ni hapatoshi, moto unafukuta sema wameufunika na chandarua, kuna muda utafika moshi utapenya tu kwenye chandarua na wote tutauona
Mungu alipanga hivyo. Kwamba Mkapa aishi miaka 82 na JPM aishi miaka 61 na miezi kama mitano hivi.Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Delusional mind from a typical Tanzanian. Kumbuka kuwa JPM na hao wengine walikufa wakati Covid 19 ikiwa imepamba moto.Mkakati ulikuwa ukipangwa kwa mda mrefu jinsi ya kumuondoa kwa kuwa aliingilia viongozi wengi mali zao walizoiba kwenye chama..na serikalini..Lakini pia alitaka wqlioe kodi kwenye biashara zao..Hili liliwauma sana..Ndo maana kila alipotoa maelekezo,,walioelekezwa walifanya mambo ya ovyo ili kumchonganisha na wananchi..mafno mauaji mbalimbali..kwqni haya yalifqnyikq bilq maelekezo yake bali alishitua limetokea.Bqada ya kumchonganisha na wanachi wake,,wakaonq njiq bora ya kumuondoa ilikuwa kiwqondoa watu wake wa karibu..ndo wakaanza na mkapa, wakafuata watu wa karibu yake kama maalimu ..kijazi nk..Baada ya vifo vingi yeye alikaa mda mrefu chato hadi waziri wa nje wa China na Rais wa msumbiji akaja chato.Wakati huo aliishapata taarifa za mipango ya mauaji yake...akatumia watu anao waamini kwenye systwm wakamuaminishq kuwa sasaa kila kitu kikopoa..ndo akarudi..harafu wapangaji wakampangia ziara za morogoro..na dar ili kwenye msafara wamalize kazi na divyo walivyomumaliza..ila nia kagenge kadogo sana akiwemo kiainaainq,ikweta,,manyuzi..etc
Mkuu hawawezi kuzuia mafuriko kwa mikono. Yajayo yanafurahisha.Kati ya Nani na Nani!?
Na ka lipi HASA!?
Funguka !
Hata wewe unafahamu moyoni mwako kua ulichoandika hapo ni propaganda tu.Mkuu 'BakiliMuluzi'' hapana shaka yoyote juu ya Mahiga, Kijakazi, Mfugale, na hata huyo Kwandikwa kwamba ni gonjwa hilo hilo.
Unachopaswa kujuwa ni kwamba si COVID-19 inayohusika na watu kufaa ila 'complications' zinazoambatana na magonjwa mengine waliyokuwa nayo hao watu kabla ya kuipata COVID-19.
COVID-19 ni kama inakuja kumalizia kwenye matatizo waliyokuwa nayo mwanzo hao watu.
Nikupe mfano: Philip Mpango asingepona kama angekuwa na gonjwa jingine wakati COVID-19 ilipomshambulia ile mbaya.
Pia fahamu kwamba hao watu wote walikuwa wanakutana kwa ukaribu kabisa bila ya kuchukua tahadhari zozote za kinga kwa sababu tu za ujinga wa Magufuli na waliokuwa wakimshauri juu ya gonjwa hilo.
Mwisho, kama unaouwezo wa kumshawishi Samia, jaribu kufuatilia vipimo vya hao marehemu wote kama hawakuwa na tatizo lolote kiafya na wakati wanakufa hawakuwa na COVID-19. Hizi ni taratibu za kawaida kitaaluma mtu anapoaga dunia, sababu husika iliyosababisha kifo huchunguzwa. Sababu zilizotajwa kwa hawa ni mbali na COVID-19, lakini ni lazima watakuwa wamechunguzwa kama walikuwa na COVID-19 walipoaga dunia kwa sababu hizo zilizotajwa.
Marehemu Ruge na efraimu kibondeWatu wanaopendana sana huwa ivo.
Dah!Hata wewe unafahamu moyoni mwako kua ulichoandika hapo ni propaganda tu.
Nakwambia hivi, kama ulikua hujui ulichoandika ni propaganda ndio mimi nakujulisha sasa. Hiyo corona iue viongozi selectively, tena inner circle tu halafu ipotee ghafla! Mbona wanafamilia wa hawa viongozi waliofariki wasife nao kwa kuambukizwa hiyo corona? Wake zao, watoto zao na ndugu wa karibu ambao ndio wanawauguza kwa karibu iweje wasipate hiyo corona na wao wafe? Unaweza ukaandika propaganda unavyotaka lakini ukweli utakua wazi tu, and very soon.Dah!
Sibahatishi mkuu, haya siyo mambo ya kupigia porojo tu bila ya kuwa na uelewa wa hayo mambo.
Kama wewe unataka iwe "porojo" kwa kutokuwa na ufahamu wake, hilo ni swala linalokuhusu wewe, siyo mimi.
Sina sababu yoyote, na wala sifaidiki na kupiga 'propaganda' kama unavyoziita wewe.
Mbona hunielewi mkuu wangu 'BakiliMuluzi', unataka nieleze vipi ndipo unielewe?Nakwambia hivi, kama ulikua hujui ulichoandika ni propaganda ndio mimi nakujulisha sasa. Hiyo corona iue viongozi selectively, tena inner circle tu halafu ipotee ghafla! Mbona wanafamilia wa hawa viongozi waliofariki wasife nao kwa kuambukizwa hiyo corona? Wake zao, watoto zao na ndugu wa karibu ambao ndio wanawauguza kwa karibu iweje wasipate hiyo corona na wao wafe? Unaweza ukaandika propaganda unavyotaka lakini ukweli utakua wazi tu, and very soon.