Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Daah ulivyoanza sentensi ya mwanzo kwa mkwala nikajua wajua mengi kumbe waungua na jua tuu [emoji13][emoji13]
 
Kifo ni kifo, wote tutapita hapo. Ila Mazingira ya kupita hapo lazima yachunguzwe kwa viongozi wakuu, wakubwa.
Wewe ndio unahangaika na hilo japo halina msingi, mtu ameshakufa amekufa tu na wewe ndio unajua hayo ya huyu sijui alikuwa mtu mkubwa lakini Mungu yeye hajui hayo, kwake nafsi zote ni sawa.
 
Wewe ndio unahangaika na hilo japo halina msingi, mtu ameshakufa amekufa tu na wewe ndio unajua hayo ya huyu sijui alikuwa mtu mkubwa lakini Mungu yeye hajui hayo, kwake nafsi zote ni sawa.

Ongea taratibu, kiutulivu, ueleweke.
 
Sukuma gang. Rejection/denial disorder itawaua. Kubalini tu kwamba mzimu wenu ushaenda. Sasa ukijadili ndiyo atafufuka?

Au unadhani Mzena hospital walitupatia mgomba yeye bado wamemficha?
Rubbish.
 
Tuseme ilikuwa Corona... then baada ya kuondoka Magufuli na Corona ndio ikaishia pale..

Mpaka iliporudi tena omicron hivi karibuni, sijui hii itaishia kwa nani, let's wait and see.
Inawezekana baada ya kufa hatua zilianza kuchukuliwa
So adui akashindwa,
Ilikua ishu ndogo tu yaani ni kukubali tu dunia inavyokwenda full stop
Huwezi kushindana na wakubaa siku zote
 
Aisee
 
Je kuna tofauti gani kama mimi na wewe tutakimbia mbio sawa za 100 m ×4 ila wewe mimi nikapumzika mara moja ila wewe ukapumzika mara 4 kila baada ya 100m?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…