FAJES
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 720
- 644
Kwani Mkuu mnapotoa kadi za michango huwa munauliza kama mtu anayo pesa ya kuchangia.?Kwani mkuu huwa unalazimishwa kuchanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mkuu mnapotoa kadi za michango huwa munauliza kama mtu anayo pesa ya kuchangia.?Kwani mkuu huwa unalazimishwa kuchanga
Tutaendelea kupiga kelele mpaka hapo Jamii maskini itakapoondokana na utumwa wa kuporwa fedha zao za mahitaji ya chakula, mavazi, matibabu na malazi kwa mgongo wa "Michango ya harusi". Wala hatutanyamaza kwa kejeli zenu.!Nani aliwahi shikiwa fimbo achange kama umeona mtu sio wa muhimu kwako usichangeee sio LAZIMA acheni kutupigia kelele humu kila siku[emoji21][emoji41]
Kwani Mkuu mnapotoa kadi za michango huwa munauliza kama mtu anayo pesa ya kuchangia.?
Ukipata hata hiyo shukuru. Utaishia kupata sms za magroups hata kuja kukutembelea hajiMbaya zaidi, unatoa mchango wa harusi laki moja, mbili, au hata tano ila linapokuja suala la kumchangia mgonjwa anayehitaji matibabu unaona anastahili Sh 2000/= au 5000/=
Kigezo cha kwamba "mtu halazimishwi" ni lugha ya ushawishi yenye ujanja ujanja wa kutaka maskini waendelee kukamuliwa fedha zao za kujikimu. Maana mnajua kabisa ukimpa mtu kadi kwa hali ya kawaida ya ubinadamu hata kama hana uwezo atajitahidi achukuwe hata akiba yake ya chakula achangie harusi zenu kwa misingi ya kuogopa huyo rafiki atanionaje nisipochangia.Huulizwi na wala hulazimishwi kutoa ni moyo mkuu kama huwezi au huna hela unaacha tu watachanga wengine
Yaani ajabu ni kwamba huyo huyo aliyechangiwa kwenye harusi yake ingetokea kabla ya kutangaza harusi akawa anaugua na kuhitaji mchango wa matibabu hakuna ambae angemchangia.Ukipata hata hiyo shukuru. Utaishia kupata sms za magroups hata kuja kukutembelea haji
Utamaduni mbovu kama huu ndio tunaupigia kelele kuwa haufai, Jamii ibadilike. Sisi kama Wanajamii kuna mahala kabisa hatupo sawa.Yaani ajabu ni kwamba huyo huyo aliyechangiwa kwenye harusi yake ingetokea kabla ya kutangaza harusi akawa anaugua na kuhitaji mchango wa matibabu hakuna ambae angemchangia.
Kanuni ni kumpatia kadi mtu yule ambaye unajua naye akikuletea kadi utamchngia. Yaani rafiki wako wa karibu. Si urafiki wa muda kwa sababu ya kutafuta mchango.Wa kulaumu ni huyu aliyeanzisha huu utaratibu
Watz wanatafuta urafiki siku za harusi mkishafahamiana anakupa kadi ya mchangiHii Kitu nilitaka kuipost hapa miezi kadhaa iliyopita sema nikasahau, leo kuna jamaa kanipigia anataka nimtumie dolali za mchango wa harusi ya binamu yake ambaye hata simjui wala sijawahi msikia.
Tuendelee:-
Wakuu hii kitu bado bongo ipo tena siku hizi ni project kubwa na za garama ya juu.
Watu wanakutana kila wiki mara moja kwenye baadhi ya bar, wanakunywa na kusaza katika hivyo vikao vya maandalizi, vikao hivyo huchukua miezi miwili hadi mitatu. Na katika vikao hivyo watu hutoa ahadi ya kiasi cha fedha watakachotoa kwa ajili ya harasi, wanaume hutoa michango ya bachela parti na harusi kuu, na kina dada hutoa michango ya sendi off, bridoshawa, kichenipati, na harusi kuu.
Kwa kifupi zoezi hili linakula hela nyingi sana, nimeambiwa sometimes you can be asked to contribute to more than 10 wedding a year, na ukitoa chini ya laki moja unaonekana mtu wa hovyo hovyo.
Jamani ndugu zangu naombeni mwongozo mimi naona kama hii ni too much.
Badala ya michango ya vikao vya harusi basi tuihamishie kwenye Elimu na Matibabu.
MJ
====================
Mtu anayekopa ili alipe mchango wa harusi ana matatizo ya akiliMichango imekuwa kero ndani ya jamii maana hata urafiki au undugu unaweza kuzorota au kufa kabisa sababu ya kutochangia michango hii. Mimi kama ninayo naweza kutoa ila kama sina siwezi kutoa hata kama urafiki au undugu ukifa ni sawa tu. Wengine kwa ujinga wao huwa wanakopa ili kuchangia kitchen party, harusi na send off, what the f**k is this! Tubadilike bandugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani sio zama hizi.Ndoa ni shughuli ya jamii.
Huku kwetu bado...poleni huko kwenu.Zamani sio zama hizi.