Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Aisee, mambo mengine yanashangaza sana
 
Huko kwenye dini kwenyewe hakuna cha ajabu,mbona huko ndo mashoga wamejaa au hujawahi kujuwa.

Usitumie kivuli cha ushoga kukata hoja za maana, HAKUNA KUOA MKUU.

KUOA NI UTAPELI MTAKATIFU.
 
Kama ni hivyo bora ubaki na msimamo wa kataa ndoa na usizae maana mnatesa watoto kwa kutanga tanga kwenu
Watoto watakaa kwangu mkuu , ninae mama mzur sana atawalea vizur sna huku nikipambana kutuma chochote kitu , angalau mama afurahie na wajukuu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…