Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Aisee, mambo mengine yanashangaza sanaKama sio shoga sawa, lakini mashoga nao wanatembea Sana na kampeni hizi huku Jf na mitandao mingine ya kijamii. Na mara nyingi kampeni kama hizi zinasimamiwa na satanic church katika utekelezaji wa mpango mkakati wao New world order. Wengi tunaingia kukamilisha missions zao na kuzipigia debe Kwa kutokujua. Ila Mashoga na wasagaji ndo wasimamizi wa huu ujumbe kuhakikisha unawaingia watu kisawasawa.