Hawa vijana walikuwa na hoja nzuri sana kuwa ndoa ni kifungo cha maisha cha kumnyima mtu uhuru,

Lakini mambo wanayoyafanya yanaumiza sana, Huu sio ubinadamu ni unyama

Mfano huu hapa

Kwa akili kama hizi tunaandaa Taifa la hovyo kabisa.

Kuanzia leo hawa vijana nimewadharau sana walaaniwe
 
Acha kugeneralise huyu kijana nimpumbavu kama wavuta bangi walio wengi, kataa ndoa wana hoja zao na wako smart usiwajumuishe na lijinga kama hilo.
 
Kama ndoa ni mpango wa Mungu MBONA YESU HAKUOA??

Wajuzi wa Biblia natamani kujua kama YUSUPH ALIMUOA BIKIRA MARIA?? [emoji848]

#KIJANA KATAA NDOA
anajipanga ila ataoa.

Kuhusu Maria na Yusuph kiukweli ndoa yao sio maarufu kiasi cha kuandikwa na waandishi wa Biblia.
 
Utandawazi, usaliti, na ugumu wa maisha vimepelekea vijana wengi hasa hasa wakiume kuona ndoa haina maana maishani mwao.

Ndoa bado ni muhimu sana kwa kila Mwanadamu maana ni heri kuoa kuliko kuishi maisha ya uasherati.

Kwa vijana wa kiume msiogope kuoa, cha msingi chagua msichana sahihi wa kuoa.

Ukimkuta sio BIKRA usioe, narudia tena USIOE.

Dini yangu inaniambia hivi; "Mke ni chombo cha heshima".
Chombo kilichochafuliwa na wahuni, wahuni wamechovya chovya na kuchafua hakiwezi tena kuwa "chombo cha heshima".

Soda inauzwa 600 tu, lakini huwezi kukubali kununua Soda iliyotolewa "kizibo". Zingatia neno "kizibo".

Mke ana thamani kubwa sana kuliko soda. Iweje ukubali kuoa Mke aliyetobolewa na wengine??? Zingatia neno "aliyetobolewa".

Mbaya zaidi wengine wanaoa hata wale waliotobolewa "tundu lisilofaa kutobolewa". Zingatia neno "tundu lisilofaa kutobolewa".

Ukimpata msichana aliyeweza kutunza "kizibo" chake mpaka ile siku ya ndoa huyo ana hofu ya MUNGU. Zingatia neno "kizibo".

Hofu ya MUNGU itamwongoza Mkeo akutii, akuheshimu, akupende, na ajiepushe na kila tamaa zitakazo mfanya akusaliti.

Dunia imepinda sana lakini miongoni mwetu wapo wasichana wenye hofu ya MUNGU. Wapo wasichana wanatunza "vizibo" vyao.

Na wewe Mwanaume ili ufurahie maisha yako ni lazima pia uwe na hofu ya MUNGU.

Oaneni, maana sio vyema kuishi maisha ya kutanga tanga.
 
Mkuu apo kwako unae binti aliebikra uniozeshe.
 
Sio kwa zama hizi za makulumbembe, washupaza shingo kudai haki, na wagombea mgawanyo mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…