Watu wa magharibi wanafanya mbinu zote kuua taasisi ya ndoa/familia...lengo lao baya...kudepopulate ili kuendeleza Ubinafsi na kulimbikiza Mali kwa wachache...ndio maana unasikia dampening za ushoga,uzazi wa mango na vidhibiti mimba nk...tuwapuuze,tubaki katika tamaduni zetu njema na imani zetu nzuri kwa Muumba wetuTatizo la ndoa lilianzia pale mkutano wa beiging ulipofanyika haki sawa ...zikimpendelea mwanamke..mf kugawqna Mali linapotokea mmeachana hata akisababisha yeye mgawane..upendo kugeuka fedha na maisha Bora...wimbi la wanawake kutegemea mwenza badala ya kijishughulisha...wanawake kutegemea child support ...mkiachana anapewa jukumu la kibali na watoto...wanawake wanainchi kwenye ndoa wakifocus kuwa mwanaume atakufa mapema na la sivyo wanafocus kwenye retirement plan akiona Ana watoto na wewe huna Cha kumuachia au faidi kumshinda anakuacha na kuondoka na watoto inabaki mpweke na kujifia...ndoa NI nzuri ukibahatisha NI swa na bet ukila unaisifu Ila wengi wanatumia umizwa ..asilimia kubwa ndoa zinawaumiza lakini wamo tu...
Ndoa ni mpango wa MunguMungu ni mwema atusaidie
Biblia yenyewe inasema bora usioe/kuolewa ila sababu ya tamaa za ngono uwe na mke/mume wako mwenyewe
ni kana kwamba ndoa sio jambo zuri ni vile tu kuna genye
Kabisa...Mwanaume...Mpende mke wako...Mwanamke mtii mume wakoMwanamke kama utii na heshima kwako ni msamiati sababu ya malezi usiingie kwenye ndoa
mambo mengine humu ni changamsha genge tu wakuu hayana uhalisia wa maisha yangu binafsiHujajua maana ya ndoa
Tusiache kumuomba Mungu...lakini pia wakati mwingine Mungu hajatuita hukoNdoa ni jambo jema sana, wanadamu kusaidiana ... Inshallah Mungu atuwezeshe tupate wenza maana umri umeenda sana.
kabisaSina maneno au mawazo mengi kiufupi hoja zangu ni hizi.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
View attachment 3235092
hebu jaribu kufatilia mwenendo wa ongezeko la talaka nadhani utaelewaNdoa ni mpango wa Mungu
Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke
Asante...maisha yangu yote namtumainia Mungu...maneno haya sitakaa niyabadilishe,hata ingekuwa tofauti kwangu...bado ndoa msingi wake ni jambo jema...Note mimi si mkamilifuUna safari ndefu sana weka akiba ya maneno. Hongera.
[emoji122] kataa ndoa unatuwakilisha vyemaSina maneno au mawazo mengi kiufupi hoja zangu ni hizi.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
View attachment 3235092
Uko huru kuchagua chochotekabisa
Ni jambo baya kujifariji? Vipi tukatishane tamaa?Mnajifariji
Tuambiane ukweli.Ni jambo baya kujifariji? Vipi tukatishane tamaa?
Wewe unamtumainia Mungu unajuaje kama na mwenzako anamtumainia Mungu?Asante...maisha yangu yote namtumainia Mungu...maneno haya sitakaa niyabadilishe,hata ingekuwa tofauti kwangu...bado ndoa msingi wake ni jambo jema...Note mimi si mkamilifu
Kwenye ndoa hamna fact (ukweli)Tuambiane ukweli.
Asante...wanaoponda kuna vacuum kisaikolojia kwa sababu walipaswa kuwa kwenye ndoaBila ndoa unakuwa haujaishi bado!
Ndoa ina raha yaks bhana!
Ndoa inaheshimisha!
Kuna milango mingine ya riziki haiwezi funguka mpaka single kwenye ndoa!
Ambao hawako kwenye ndoa wanajiita kataa ndoa wanajifariji tu! huenda wajabahatika kupata machaguo sahihi!π
Wenye makasiriko yao watauponda huu uzi hasa wanawake kurumbembe ambao wanatamani wholesale ila wamekosa watu sahihi wameamaua kujiita kataa ndoa
Wameamua kuiskashifu ndoa
Wan maneno yao ya mkosaji et "walioko kwenye ndoa wanatamani watoke" au wanaionja shubiri"
Hayo ni maneno wanayojipoza nayo!π
Nways
musicarlito uzi mzuri sana huu umeongea point tupu