Bado una safari ndefu ya kuwafahamu wanawake, pambana.
Huo muda wa kuwafahamu Wanawake naupata wapi ? Kama ww ulipata muda wa kuwafahamu Wanawake Hongera.

Still kukataa ndoa ni udhaifu.

Maana nimeomba mlete hoja ili mtushawishi nasisi lakini naona mnaruka ruka tuu .

Usikute nyie ni wazee mnaojuta , au vijana mliopatwa .
 
Akiwemo Baba aliekuzaa ambae anateswa na mama aliekuzaa kwenye ndoa Yao. Au ww ni mtoto wa mama ?
 
Kama Kuna mkataa ndoa ana Binti ake wa miaka 20-25 anipe, nimzalishe alafu nitamrudisha na wajukuu wako tutaopata. Sio lazima ajifungulie kwangu.
 

Tukatae ndoa ya kufunga makanisani/misikitini na mahakamani
Ama tukatae pia na kuchakata kwa muda mrefu😂😂😂
 

Attachments

  • 1676615183287.png
    32.6 KB · Views: 2
pole sana mzee
 
Wazee wazamani waliwakeketa ili watulie kwenye ndoa , sijui sasa iv mnafanyaje mwenye ndoa.
 
Wazee wazamani waliwakeketa ili watulie kwenye ndoa , sijui sasa iv mnafanyaje mwenye ndoa.
Wazee wazamani wa wapi ? waliwakeketa kina nani waliotulia ? Nipe mifano dhahiri kwenye familia yenu. Huenda sisi kwetu hawajakeketwa ndo maana. Bibi, Shangazi , Dada na mama ako wapo upande upi ? Ndoa sio ngono ya masaa kadhaa pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…