Wengine tushaingia tayari tunapambana kufa na kupona huku. Sasa nikiwasapoti mkatae ndoa mnataka niteseke peke yangu..😅😅
Kuteseka kupo pale pale Ila ukiwa huku nje unateseka ukiwa huru pekeako hakuna wakukuongezea mateso
 
Familillah wallah,kama umemkuza katika malezi ya kidini..allah atamfanyia wepesi...
Watu wenye imani wanaotegemea tawaqal ya allah..mungu hawajahi waacha wapotee

Inshaallah muombee sana binti yako (man jitahada wajada)
Sijamwelekeza sana kwenye dini ni ile kawaida sana.

Mimi sio muumini wa dini maana zinanichanganya sizielewi...
Yeye alivyokuwa form two tayari anajua biblia nzima kichwani na kukuelezea anaeleza kwa ujasiri na points.

Huwa nabishana nae sana kuhusu mambo ya dini lkn simkatazi kufanya jambo la dini ambalo yeye anaona ni sahihi.
 
Kataa ndoa, kataa mateso na mapambano yasiyoisha🤣🤣🤣🤣
Unaweza kuunga mkono kampeni Kwa kugoma kuchangia Kadi za harusi🤣🤣🤣
Hii ya kutochangia harusi nilianza kitambo sana. Sasa hivi nachangia za watu wa karibu tu...yaani wale wa karibu haswa ndo naona aibu inabidi nichange.
 
Kikubwa hofu ya mungu
 
Unavyosema kumzalia ina maana nyie hamuhitaji watt sio
 
Mamy K, lesibian uko kazini. Utafanikiwa kweli?

Tunaenda kwa waganga kusaka bahati ya kuolewa halafu wewe unasema ni utumwa.

Hujaeleweka, anza upya
 
Mamy K, lesibian uko kazini. Utafanikiwa kweli?

Tunaenda kwa waganga kusaka bahati ya kuolewa halafu wewe unasema ni utumwa.

Hujaeleweka, anza upya
Heee nishakuwa lesb tena?🤣🤣🤣🤣 Mimi nakataa kufugwa, nakataa kuuza Uhuru na utu.....sijakataa kugusanisha🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️
#Kataandoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…