Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuteseka kupo pale pale Ila ukiwa huku nje unateseka ukiwa huru pekeako hakuna wakukuongezea matesoWengine tushaingia tayari tunapambana kufa na kupona huku. Sasa nikiwasapoti mkatae ndoa mnataka niteseke peke yangu..😅😅
Kataa ndoa, kataa mateso na mapambano yasiyoisha🤣🤣🤣🤣Wengine tushaingia tayari tunapambana kufa na kupona huku. Sasa nikiwasapoti mkatae ndoa mnataka niteseke peke yangu..😅😅
Sijamwelekeza sana kwenye dini ni ile kawaida sana.Familillah wallah,kama umemkuza katika malezi ya kidini..allah atamfanyia wepesi...
Watu wenye imani wanaotegemea tawaqal ya allah..mungu hawajahi waacha wapotee
Inshaallah muombee sana binti yako (man jitahada wajada)
Hii ya kutochangia harusi nilianza kitambo sana. Sasa hivi nachangia za watu wa karibu tu...yaani wale wa karibu haswa ndo naona aibu inabidi nichange.Kataa ndoa, kataa mateso na mapambano yasiyoisha🤣🤣🤣🤣
Unaweza kuunga mkono kampeni Kwa kugoma kuchangia Kadi za harusi🤣🤣🤣
Kikubwa hofu ya munguSijamwelekeza sana kwenye dini ni ile kawaida sana.
Mimi sio muumini wa dini maana zinanichanganya sizielewi...
Yeye alivyokuwa form two tayari anajua biblia nzima kichwani na kukuelezea anaeleza kwa ujasiri na points.
Huwa nabishana nae sana kuhusu mambo ya dini lkn simkatazi kufanya jambo la dini ambalo yeye anaona ni sahihi.
Yes anayo, sana tu.Kikubwa hofu ya mungu
Nikuibie tu siri.
Mimi binti yangu akiolewa nalia, tena kile kilio haswa unachokijua. Ila sitamwambia asiolewe...uamuzi ni wake.
Unavyosema kumzalia ina maana nyie hamuhitaji watt sioNdoa ni utumwa wa hiari Kwa wanawake
Unaacha ndoto zako na kuanza kutengeneza za mwenzako, mwisho anakuona wewe ndio unamnyonya, anasahau uliyosacrifice kwake.
Unasacrifice uzuri wako kumzalia Kwa uchungu na kumlelea watoto.
Unasacrifice muda wako, umri wako wote kumuhudumia jitu zima lenye midevu yake...
#Kataa ndoa
#ndoa ni utumwa
#Kuolewa sio lazima
Ili tuwafulie, tuwaoshee vyombo na kuwadekia mtuletee mahitaji piaBasi tutawaoa sisi , tutawalipia bills zote msijali
Inawezekana.Mkikutana na wanaume machizi, lazima muwe na mawazo haya.
Watoto ni Mali ya ukoo wao, wanabeba majina Yao....Unavyosema kumzalia ina maana nyie hamuhitaji watt sio
Mamy K, lesibian uko kazini. Utafanikiwa kweli?Ndoa ni utumwa wa hiari Kwa wanawake
Unaacha ndoto zako na kuanza kutengeneza za mwenzako, mwisho anakuona wewe ndio unamnyonya, anasahau uliyosacrifice kwake.
Unasacrifice uzuri wako kumzalia Kwa uchungu na kumlelea watoto.
Unasacrifice muda wako, umri wako wote kumuhudumia jitu zima lenye midevu yake...
#Kataa ndoa
#ndoa ni utumwa
#Kuolewa sio lazima
Heee nishakuwa lesb tena?🤣🤣🤣🤣 Mimi nakataa kufugwa, nakataa kuuza Uhuru na utu.....sijakataa kugusanisha🤸🏿♀️🤸🏿♀️🤸🏿♀️🤸🏿♀️Mamy K, lesibian uko kazini. Utafanikiwa kweli?
Tunaenda kwa waganga kusaka bahati ya kuolewa halafu wewe unasema ni utumwa.
Hujaeleweka, anza upya
Inawezekana.
Machizi wapo wengi
WoiKaribu kweny ufalme
Bado stump tuWashakutia ganzi hao machizi, 😂😂