Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,815
Na vijana wa kiume waliotoka kwenye familia tajiri wanapata pesa kwa wazazi wao nao ni mashoga maana hawa tafuti kazi sio eeh daaah we jamaa unachekesha sana 😹😒lakini Afande kaoa kuegeshea katika jamii wasimuhisi kama analiwa ndogo, Vipi kwa vijana wasiotaka kuoa alafu kutwa unawaona hawana mpango wa kutafuta kazi iwaingizie kipato kama hawaliwi ndogo ni nini?
Na wewe wa kwenye ndoa tutaamini vipi unaichakata?sasa tutaamini vipi unazichakata?
Watu wamepindulia since shule ya msingi huko unategemea nn apo anajificha tu kwenye hio ndoa mkuuuu hamna uhusiano wowote wa kukataa ndoa na ushoga aseee hamna kabisaaskari uwezi jua labda alianza baada ya kuoa, sizani kama aliaanza kabla ya kuoa angeoa huyo mke na yeye angekuwa muunga kampeni
sasa mkuu me nimeoa alafu uniulize habari za kuichakataNa wewe wa kwenye ndoa tutaamini vipi unaichakata?
Sio kweli. Hii maana yako hatujawahi kuiona sisi kama watanzania. Rijari ni mwanaume kamili, mwenye nguvu, si mvivu. Na anayejitunza kama mwanaume huyo ndio rijari. Kuoa na kuolewa ni picha tu ya heshima ya dini na jamii husika. Si URIJARIkuoa ni ishara moja wapo ya kuonesha wewe ni mkamilifu "RIJARI" usioa ni kinyume chake
Mbona una Hasira kama Swila.You wish huh!!! Pole sana.
Kuweni wanaume basi.
Tunaamini vipi wewe sio shoga?sasa mkuu me nimeoa alafu uniulize habari za kuichakata
uhusian upo tena mkubwa kwanini ukatae ndoa sasa ikiwa unajijua wewe sio mke kwa mwanaume mwenzioWatu wamepindulia since shule ya msingi huko unategemea nn apo anajificha tu kwenye hio ndoa mkuuuu hamna uhusiano wowote wa kukataa ndoa na ushoga aseee hamna kabisa
kitendo cha kuishi na mwanamke tayari kinaondoa doubt zote hizo tofauti na wewe unaekataa ndoa lazima tujiulize maswaliTunaamini vipi wewe sio shoga?
Mbona kila jibu langu umekazana kulazimisha nina hasira!!!Mbona una Hasira kama Swila.
Hakuna anaekataa kuoa shida watu kuvamia ndoa huku wana nusu taarifa wakitegemea mengine yatakuwa Sawa mbele Kwa mbele hy haipo na Mungu haingilii aliporukwa tunaishia kuzeeshana na kuachana kama sio kuuana.
Kwani kuoa ndiyo kuichakata? Hujui kuwa kuna watu wengi hawasimamishi lakini wameoa?sasa mkuu me nimeoa alafu uniulize habari za kuichakata
hapo kwenye mwanaume kamili mahitaji yake ya kimwili yanatimilika vipi, sasa hivi mtindo tunaoishi wanaume unafikilisha sanaSio kweli. Hii maana yako hatujawahi kuiona sisi kama watanzania. Rijari ni mwanaume kamili, mwenye nguvu, si mvivu. Na anayejitunza kama mwanaume huyo ndio rijari. Kuoa na kuolewa ni picha tu ya heshima ya dini na jamii husika. Si URIJARI
kwa hiyo sasa hamtaki kufake maisha mpo open kwamba hamuoi kudanganya jamiiKwani kuoa ndiyo kuichakata? Hujui kuwa kuna watu wengi hawasimamishi lakini wameoa?
Au umeoa lakini mkeo kila siku anakunyima mzigo..
Kumbe wewe unaelewa.kwa hiyo sasa hamtaki kufake maisha mpo open kwamba hamuoi kudanganya jamii
mkuu mwenye tatizo haoi sababu anajua ataumbuka na wengi waliojaribu kuoa mwisho wao ulikuwa aibu kwani mke aliwatangaza sasa hivi ili kulinda heshima watu wanakimbilia kuisema ndoa vijana ili jamii ielewe hajaoa sababu zingine wasiwaze kitu kama nilichokiibuaKumbe wewe unaelewa.
Mashoga, mahanithi na wenye majanga mbalimbali wamefanya ndoa kama kichaka cha kujifichia. Mtakuwa mnasema "mbona yule ana mke mzuri tu....," kumbe hakuna kitu.
Wewe ndio umeweka tone kwenye maandishi yangu. Umeyasoma kwa tone ya hasira, maybe ndicho kilichokujaza.Angalia tone ya maneno unayotumia Aksha.
Mafunzo hayawezi kuwa Universal ukweli wa Mzee wako uongo kwa Mzee wa mwenzio.
Kwani ronaldo kaoauhusian upo tena mkubwa kwanini ukatae ndoa sasa ikiwa unajijua wewe sio mke kwa mwanaume mwenzio
Sio kweli. Wapo wengi wa ndoani ndio hufanya hayo.kitendo cha kuishi na mwanamke tayari kinaondoa doubt zote hizo tofauti na wewe unaekataa ndoa lazima tujiulize maswali