Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
lakini Afande kaoa kuegeshea katika jamii wasimuhisi kama analiwa ndogo, Vipi kwa vijana wasiotaka kuoa alafu kutwa unawaona hawana mpango wa kutafuta kazi iwaingizie kipato kama hawaliwi ndogo ni nini?
Na vijana wa kiume waliotoka kwenye familia tajiri wanapata pesa kwa wazazi wao nao ni mashoga maana hawa tafuti kazi sio eeh daaah we jamaa unachekesha sana 😹😒

Mbona huna logic mkuuu 💩
 
askari uwezi jua labda alianza baada ya kuoa, sizani kama aliaanza kabla ya kuoa angeoa huyo mke na yeye angekuwa muunga kampeni
Watu wamepindulia since shule ya msingi huko unategemea nn apo anajificha tu kwenye hio ndoa mkuuuu hamna uhusiano wowote wa kukataa ndoa na ushoga aseee hamna kabisa
 
kuoa ni ishara moja wapo ya kuonesha wewe ni mkamilifu "RIJARI" usioa ni kinyume chake
Sio kweli. Hii maana yako hatujawahi kuiona sisi kama watanzania. Rijari ni mwanaume kamili, mwenye nguvu, si mvivu. Na anayejitunza kama mwanaume huyo ndio rijari. Kuoa na kuolewa ni picha tu ya heshima ya dini na jamii husika. Si URIJARI
 
You wish huh!!! Pole sana.

Kuweni wanaume basi.
Mbona una Hasira kama Swila.
Hakuna anaekataa kuoa shida watu kuvamia ndoa huku wana nusu taarifa wakitegemea mengine yatakuwa Sawa mbele Kwa mbele hy haipo na Mungu haingilii aliporukwa tunaishia kuzeeshana na kuachana kama sio kuuana.
 
Watu wamepindulia since shule ya msingi huko unategemea nn apo anajificha tu kwenye hio ndoa mkuuuu hamna uhusiano wowote wa kukataa ndoa na ushoga aseee hamna kabisa
uhusian upo tena mkubwa kwanini ukatae ndoa sasa ikiwa unajijua wewe sio mke kwa mwanaume mwenzio
 
Mbona una Hasira kama Swila.
Hakuna anaekataa kuoa shida watu kuvamia ndoa huku wana nusu taarifa wakitegemea mengine yatakuwa Sawa mbele Kwa mbele hy haipo na Mungu haingilii aliporukwa tunaishia kuzeeshana na kuachana kama sio kuuana.
Mbona kila jibu langu umekazana kulazimisha nina hasira!!!

Sasa kwanini mvamie ndoa!! Hamjafundwa na wazee wenu?
 
sasa mkuu me nimeoa alafu uniulize habari za kuichakata
Kwani kuoa ndiyo kuichakata? Hujui kuwa kuna watu wengi hawasimamishi lakini wameoa?

Au umeoa lakini mkeo kila siku anakunyima mzigo..
 
Sio kweli. Hii maana yako hatujawahi kuiona sisi kama watanzania. Rijari ni mwanaume kamili, mwenye nguvu, si mvivu. Na anayejitunza kama mwanaume huyo ndio rijari. Kuoa na kuolewa ni picha tu ya heshima ya dini na jamii husika. Si URIJARI
hapo kwenye mwanaume kamili mahitaji yake ya kimwili yanatimilika vipi, sasa hivi mtindo tunaoishi wanaume unafikilisha sana
 
kwa hiyo sasa hamtaki kufake maisha mpo open kwamba hamuoi kudanganya jamii
Kumbe wewe unaelewa.

Mashoga, mahanithi na wenye majanga mbalimbali wamefanya ndoa kama kichaka cha kujifichia. Mtakuwa mnasema "mbona yule ana mke mzuri tu....," kumbe hakuna kitu.
 
Mbona kila jibu langu umekazana kulazimisha nina hasira!!!

Sasa kwanini mvamie ndoa!! Hamjafundwa na wazee wenu?
Angalia tone ya maneno unayotumia Aksha.
Mafunzo hayawezi kuwa Universal ukweli wa Mzee wako uongo kwa Mzee wa mwenzio.
 
Mchicha mwiba wako kibao, hawagongi wake zao mpaka wagongwe au watiwe vidole - so, sidhani kama ndoa ni kigezo thabiti cha ku-judge. Infact, mabwabwa ndo wanakimbilia kuoa ili kuficha aibu, kama ambavyo wanajazana kwenye gyms ili kutengeneza six packs ilimradi tu "waonekane" marijali 😄 Ni kama vile wachawi wanavojaa makanisani 😄
 
Kumbe wewe unaelewa.

Mashoga, mahanithi na wenye majanga mbalimbali wamefanya ndoa kama kichaka cha kujifichia. Mtakuwa mnasema "mbona yule ana mke mzuri tu....," kumbe hakuna kitu.
mkuu mwenye tatizo haoi sababu anajua ataumbuka na wengi waliojaribu kuoa mwisho wao ulikuwa aibu kwani mke aliwatangaza sasa hivi ili kulinda heshima watu wanakimbilia kuisema ndoa vijana ili jamii ielewe hajaoa sababu zingine wasiwaze kitu kama nilichokiibua
 
Angalia tone ya maneno unayotumia Aksha.
Mafunzo hayawezi kuwa Universal ukweli wa Mzee wako uongo kwa Mzee wa mwenzio.
Wewe ndio umeweka tone kwenye maandishi yangu. Umeyasoma kwa tone ya hasira, maybe ndicho kilichokujaza.

Anyway, basi kumbe tatizo linaanza na wazee wenu🤔🤔🤔
Kuna ule msemo wa wahenga kwa hata.....huzeeka!! Now i get it.
 
uhusian upo tena mkubwa kwanini ukatae ndoa sasa ikiwa unajijua wewe sio mke kwa mwanaume mwenzio
Kwani ronaldo kaoa
Dangote je,mondi,adenuga,keanu reeves,mayweather,eminem,dr. Dre, adeleke, musk,gates,bezos, n.k hao ni watu famous ila mostly wana girlfriend sasa ndoa ya nn

Na pia hujaelezea sababu ya wake za watu kuwa rahisi kuwapata kuliko kununua maji sasa ndoa ya nn hapo mkuuu why just why
 
Back
Top Bottom