hao ulio wataja sizani kama washawahi kuja katika public nakunanga taasisi ya ndoa kama wafanyavyo wengi wanaojijua wanamatatizoKwani ronaldo kaoa
Dangote je,mondi,adenuga,keanu reeves,mayweather,eminem,dr. Dre, adeleke, musk,gates,bezos, n.k hao ni watu famous ila mostly wana girlfriend sasa ndoa ya nn
Na pia hujaelezea sababu ya wake za watu kuwa rahisi kuwapata kuliko kununua maji sasa ndoa ya nn hapo mkuuu why just why
Lucha unazingua 😂😂🤓🤓Ukiona mwanaume Yuko kwenye kampeni ya kukataa ndoa ujue anakatwa anataka kuolewa yeye
Kuna jamaa alishtaki hilo sijui kanyimwa unyumba for 7 years sasa hio ni nn 🤯Huyo hajui kwamba unaweza ukawa kwenye ndoa na mbususu usipate!
Mkuu,hatujafeli kuchagua. Kwani,kunamtu anaomba mabaya yamkute? Tunapochagua wenza,si tunahitaji maisha mazuri kwenye familia zetu? Viumbe hawa wanahitaji kulelewa kama watoto wadogo, kwa kifupi hawajui kinachowapeleka kuolewa ni nini. Lakini, hao wanaowafunda,wanawambia wasibabaishwe na mwanaume. Akija na akili hiyo utamuweza?kwahiyo sasa hivi vijana tunafeli kuchagua wenza mpaka tunakataa kuoa au kuna kitu nyuma yetu tunajificha katika kimvuli hiko?
Suala la ndoa ni Pana sana na usidanganye watu wazee walikufunza kila kitu.. Huu ni uongo, kuonesha umetoka family maadili Yamenyooka.Wewe ndio umeweka tone kwenye maandishi yangu. Umeyasoma kwa tone ya hasira, maybe ndicho kilichokujaza.
Anyway, basi kumbe tatizo linaanza na wazee wenu🤔🤔🤔
Kuna ule msemo wa wahenga kwa hata.....huzeeka!! Now i get it.
baada ya kuoa wakati wanajijua wanamatatizo wake wakawa wanawatangaza ili kuendelea kujistiri ndio imeibuka hii kampeni ya kataa ndoaSio kweli. Wapo wengi wa ndoani ndio hufanya hayo.
Hahahha actions speak louder than words mkuuuu hawawezi sema maana itawaharibia reputation hivyo wana play mind game tu na kutunga sababu za kuikwepa maana wanajua it may cost them si kama tu kukwepa kodi hamnaa billionaire anayejisifia kukwepa ila wanapiga chinichini mkuuu 😂😶hao ulio wataja sizani kama washawahi kuja katika public nakunanga taasisi ya ndoa kama wafanyavyo wengi wanaojijua wanamatatizo
Ahahahaha daaah yaaan bado wanajaribu kutushawishi lakini wapi..Huyo hajui kwamba unaweza ukawa kwenye ndoa na mbususu usipate!
Kwako nikushauri kama unaona kataa ndoa wote mashoga ni wengi. Nakuelekeza basi usiwashauri watu waoe kwasbabu tayari unajua ni mashoga.baada ya kuoa wakati wanajijua wanamatatizo wake wakawa wanawatangaza ili kuendelea kujistiri ndio imeibuka hii kampeni ya kataa ndoa
kwa maana hiyo mpaka unafika hatua ya kukataa ndoa umeprove wote ni wabaya si ndio? au kuna kingine nyuma kimejifichaMkuu,hatujafeli kuchagua. Kwani,kunamtu anaomba mabaya yamkute? Tunapochagua wenza,si tunahitaji maisha mazuri kwenye familia zetu? Viumbe hawa wanahitaji kulelewa kama watoto wadogo, kwa kifupi hawajui kinachowapeleka kuolewa ni nini. Lakini, hao wanaowafunda,wanawambia wasibabaishwe na mwanaume. Akija na akili hiyo utamuweza?
sijathibitisha kama mashoga na siwezi kuthibitisha ila nawaza tu sababu ya kukataa ndoa ni nini?Kwako nikushauri kama unaona kataa ndoa wote mashoga ni wengi. Nakuelekeza basi usiwashauri watu waoe kwasbabu tayari unajua ni mashoga.
Ndio tunakupa sababu. Maana sisi ndio wazee wa movement kama huamini utaamini zipi sasa?sijathibitisha kama mashoga na siwezi kuthibitisha ila nawaza tu sababu ya kukataa ndoa ni nini?
Oooh kumbe!! Hebu niambie, maandishi yanaonyesha niko state gani😀Suala la ndoa ni Pana sana na usidanganye watu wazee walikufunza kila kitu.. Huu ni uongo, kuonesha umetoka family maadili Yamenyooka.
Unakwepa ukweli ila maandishi yanaonyesha uko kwenye state gani.
hazishawishi hizo sababu maana mtindo wa maisha ya wanaume hivi karibuni umebadilik sanNdio tunakupa sababu. Maana sisi ndio wazee wa movement kama huamini utaamini zipi sasa?
Ahahahaha daaah yaaan bado wanajaribu kutushawishi lakini wapi..
Ndoa zinaficha mambo mengi sana, ukisimuliwa unaweza ukabaki pumbu wazi.Kuna jamaa alishtaki hilo sijui kanyimwa unyumba for 7 years sasa hio ni nn 🤯
Soma reply zako vizuri Ukianzia na kujiondoa, kushutumu na perfection hizi zote ni attitude za mtu mwenye hasira.Oooh kumbe!! Hebu niambie, maandishi yanaonyesha niko state gani😀
Ndo kuna mambo mengi alaaah..,Ndoa zinaficha mambo mengi sana, ukisimuliwa unaweza ukabaki pumbu wazi.
Wacha bwana!!🤣🤣🤣🤣Soma reply zako vizuri Ukianzia na kujiondoa, kushutumu na perfection hizi zote ni attitude za mtu mwenye hasira.
Usizuge kwa kuweka kiemoji kuonesha Unacheka... Fake
2356Wacha bwana!!🤣🤣🤣🤣
Ukiachana na hasira na imperfections zangu, mtakuwa wanaume lini?
inabidi basi utulie, uzi mzito sana kwako huu, uliouanzishatupo t
hazishawishi hizo sababu maana mtindo wa maisha ya wanaume hivi karibuni umebadilik san