Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kwani ronaldo kaoa
Dangote je,mondi,adenuga,keanu reeves,mayweather,eminem,dr. Dre, adeleke, musk,gates,bezos, n.k hao ni watu famous ila mostly wana girlfriend sasa ndoa ya nn

Na pia hujaelezea sababu ya wake za watu kuwa rahisi kuwapata kuliko kununua maji sasa ndoa ya nn hapo mkuuu why just why
hao ulio wataja sizani kama washawahi kuja katika public nakunanga taasisi ya ndoa kama wafanyavyo wengi wanaojijua wanamatatizo
 
kwahiyo sasa hivi vijana tunafeli kuchagua wenza mpaka tunakataa kuoa au kuna kitu nyuma yetu tunajificha katika kimvuli hiko?
Mkuu,hatujafeli kuchagua. Kwani,kunamtu anaomba mabaya yamkute? Tunapochagua wenza,si tunahitaji maisha mazuri kwenye familia zetu? Viumbe hawa wanahitaji kulelewa kama watoto wadogo, kwa kifupi hawajui kinachowapeleka kuolewa ni nini. Lakini, hao wanaowafunda,wanawambia wasibabaishwe na mwanaume. Akija na akili hiyo utamuweza?
 
Wewe ndio umeweka tone kwenye maandishi yangu. Umeyasoma kwa tone ya hasira, maybe ndicho kilichokujaza.

Anyway, basi kumbe tatizo linaanza na wazee wenu🤔🤔🤔
Kuna ule msemo wa wahenga kwa hata.....huzeeka!! Now i get it.
Suala la ndoa ni Pana sana na usidanganye watu wazee walikufunza kila kitu.. Huu ni uongo, kuonesha umetoka family maadili Yamenyooka.
Unakwepa ukweli ila maandishi yanaonyesha uko kwenye state gani.
 
hao ulio wataja sizani kama washawahi kuja katika public nakunanga taasisi ya ndoa kama wafanyavyo wengi wanaojijua wanamatatizo
Hahahha actions speak louder than words mkuuuu hawawezi sema maana itawaharibia reputation hivyo wana play mind game tu na kutunga sababu za kuikwepa maana wanajua it may cost them si kama tu kukwepa kodi hamnaa billionaire anayejisifia kukwepa ila wanapiga chinichini mkuuu 😂😶
 
baada ya kuoa wakati wanajijua wanamatatizo wake wakawa wanawatangaza ili kuendelea kujistiri ndio imeibuka hii kampeni ya kataa ndoa
Kwako nikushauri kama unaona kataa ndoa wote mashoga ni wengi. Nakuelekeza basi usiwashauri watu waoe kwasbabu tayari unajua ni mashoga.
 
Mkuu,hatujafeli kuchagua. Kwani,kunamtu anaomba mabaya yamkute? Tunapochagua wenza,si tunahitaji maisha mazuri kwenye familia zetu? Viumbe hawa wanahitaji kulelewa kama watoto wadogo, kwa kifupi hawajui kinachowapeleka kuolewa ni nini. Lakini, hao wanaowafunda,wanawambia wasibabaishwe na mwanaume. Akija na akili hiyo utamuweza?
kwa maana hiyo mpaka unafika hatua ya kukataa ndoa umeprove wote ni wabaya si ndio? au kuna kingine nyuma kimejificha
 
Kwako nikushauri kama unaona kataa ndoa wote mashoga ni wengi. Nakuelekeza basi usiwashauri watu waoe kwasbabu tayari unajua ni mashoga.
sijathibitisha kama mashoga na siwezi kuthibitisha ila nawaza tu sababu ya kukataa ndoa ni nini?
 
Suala la ndoa ni Pana sana na usidanganye watu wazee walikufunza kila kitu.. Huu ni uongo, kuonesha umetoka family maadili Yamenyooka.
Unakwepa ukweli ila maandishi yanaonyesha uko kwenye state gani.
Oooh kumbe!! Hebu niambie, maandishi yanaonyesha niko state gani😀
 
Oooh kumbe!! Hebu niambie, maandishi yanaonyesha niko state gani😀
Soma reply zako vizuri Ukianzia na kujiondoa, kushutumu na perfection hizi zote ni attitude za mtu mwenye hasira.
Usizuge kwa kuweka kiemoji kuonesha Unacheka... Fake
 
Soma reply zako vizuri Ukianzia na kujiondoa, kushutumu na perfection hizi zote ni attitude za mtu mwenye hasira.
Usizuge kwa kuweka kiemoji kuonesha Unacheka... Fake
Wacha bwana!!🤣🤣🤣🤣

Ukiachana na hasira na imperfections zangu, mtakuwa wanaume lini?
 
Back
Top Bottom