janja-janja za ndoa zitatapeli wengine wasiojielewa, siyo mimi
 
Kuna tofauti ya kuoa na kufunga ndoa yenye vyeti na kuweka saini kimkataba , ukisha lala na mwanamke mwezi hyo ni mkeo Kijana kataa ndoa ,ndoa ni utapeli.
 
Tuanza na wale tunakofanya maungamo
 
Kuna tofauti ya kuoa na kufunga ndoa yenye vyeti na kuweka saini kimkataba , ukisha lala na mwanamke mwezi hyo ni mkeo Kijana kataa ndoa ,ndoa ni utapeli.
Utaratibu wa kuoa sijui ulianzia wapi, bora tungekuwa kama kuku tu
 
Mbona Ronaldo amekataa ndoa ila yupo na mwanamke?
Kwani Ronaldo ni nani mpaka atakacho kifanya yeye kiwe sahihi ndani ya jamii?

Ronaldo alizaliwa peke yake na atakufa peke yake na atahukumiwa peke yake.

Na ww ulizaliwa peke yako na utakufa peke yako na utahukumiwa peke yake.
 
Kwani Ronaldo ni nani mpaka atakacho kifanya yeye kiwe sahihi ndani ya jamii?

Ronaldo alizaliwa peke yake na atakufa peke yake na atahukumiwa peke yake.

Na ww ulizaliwa peke yako na utakufa peke yako na utahukumiwa peke yake.
Kwa ni sisi wanaume mpka tufunge ndoa inakua kwa mbinde na mara nyingi mwanamke ndo amelazimisha nafsi zetu zinajua kabsa ndoa ni utapeli sema unakaza tu kichwa
 
Utaratibu wa kuoa sijui ulianzia wapi, bora tungekuwa kama kuku tu
Ww ni mamalia na una haki ya zote za kuwa free hizi mambo za ndoa zililetwa na wakoloni tu kufungana mapete vidoleni , babu zetu walikua na wake zaidi ya kumi na waliishi kwa upendo tu sisi mke mmoja lakini kila skuu mauaji tatizo ni ndoa , tukatae ndoa huku mpka ifike mbali zaidi
 
Hoja ni watu wanao kataa ndoa kuwa ni pasua kichwa hali ya kuwa hata kwenye mahusiano yasiyo ya kindoa ni pasua kichwa hivyohivyo.

Mwanaume huwezi kukamilika kuitwa mwanaume kamili kama hujaoa hata kama ungekuwa na vimada 100.

Alafu kuhusu vijana kutofanya mapenzi mpaka pale watakapo owa inafatana na jamii husika ina mtazamo gani juu ya hili suala.
Wewe unasema kuwa vijana hawawezi kuvumilia kutofanya mapenzi mkapa watakapo owa huo mtazamo wako umetokana na aina ya jamii uliyo kulia na kukulea.
Lakini kuna jamii nyingi hasa za kiasia ambazo ni mwiko kufanya uzinzi kabla ya ndoa na watu wanaweza kuvumilia.

Barani Asia kuna jamii nyingi ambazo ili uolewe ni lazima uwe bikra.
 
Ukikataa kuoa pia usifanye ngono.
 
Umemaliza, niko paleeeee akitoa jibu la kueleweka
 
Mkuu umeanzisha uzi ila haujui unazungumzia nini , ndoa nini na kushi na mwanamke ni nini? Watu wanakataa ndoa ila wanaishi na wanawake miaka zaidi ya 40
 
Ukikataa kuoa pia usifanye ngono.
Mkuu ngono tunafanya na ndoa hatufungi , kampeni ya kukataa ndoa ina umuhimu kwa wanaume zaid kulinda akili yake zaidi , wanaume wajinga tu ndo wanafunga ndoa kwa kizazi hiki hasa ndoa za Kikristo hazina afya kwa akili na uhai wa mwanaume
 
Ndoa ni kifo na kitanzi kwa mwanaume , ndoa inasababisha ukifumania live ukitaka kupiga chini unanyang'anywa kila kitu , ndoa haifai kwa dunia ya sasa , ogopa sna mwanamke anaelazimisha mfunge ndoa piga chini mapema
💯🤝
 
Wakiokoka wakimaanisha na kujaa Roho mtakatifu it is possible tena ni kawaida. Ni kweli mwili una tamaa zake lakini unautiisha. Hata sisi walokole (tuliomaanisha kuokoka) mwili unatusumbua ila tunautiisha na pia kua bize na mambo mengi na ibada na pia kuepuka mambo yanayochochea mapenzi kama kitabu cha Wimbo ulio bora kinavyotuasa. It is possible to keep holy had marriage katika hii dunia iliyochafuka. Hata Yesu arudi sasa hivi atakuta vijana ambao hawajajichafua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…