dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
janja-janja za ndoa zitatapeli wengine wasiojielewa, siyo mimiUsipo kua na ndoa mwanaume unaishi na mwanamke vizur mno , ukifunga ndoa mwanamke anaanza kizaa zaa ashapewa cheti chake cha utapeli huku mawakili wake wa dawati la jinsi wakiwa macho ,wanaume wanaoishi kwenye ndoa ni magoigoi na waoga hawana uhuru wakuwa kiume zaid mbele ya wake zao hasa hawa wenye ndoa za kikristo , wamepigwa nyundo ya maisha kwamba kwnye shida wapo kwenye raha wapo ila wengi wao kifo kinawatenganisha.