Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Ukioa bila hayo makaratasi jamii inakuona huna ndoa, wahuni wanaweza kumchukua mke wako mchana kweupe na huna pa kushitaki. Cha ajabu eti viongozi wa dini ni mawakala wa kusajili ndoa wakati ni hizo nyaraka ni za serikali. Kuna viongozi wengine wa dini hawana kibali cha kufungisha ndoa
 
Tuwekane sawa.

Hakuna kijana anayekataa kuwa na mwanamke au kupata watoto ila kinachokataliwa ni ndoa yenye mlengo wa kutolewa cheti kiwe cha kanisani, msikitini, serikalini.

Hatutaki ndoa cheti inaleta jeuri sana kwa wadada wa mjini na ndio maana ndoto ya mwanamke yeyote ni kupata ndoa anajua mwisho wake ni kumtawala mwanaume na kumfanya vile anayotaka.

Hatutaki ndoa cheti mali zetu zitapotea,wanawake wengi sana leo pasua kichwa wakisingizia wanaume hawana nguvu za kiume na usaliti umekuwa mkubwa ambao upelekea ndoa kuvunjika kwa muda mfupi tu na mali kugawana sawa.

Hatutaki ndoa kwa Sababu hakuna cha maana kabisa kinachopatikana kwenye hiyo ndoa watu wanaikubali maana kama mnyanduano unaupata popote,watoto wa kuzaa nao wapo sasa sijui kitu mnaweza kutushawishi tukubaliane na hiyo ndoa.

Hatutaki ndoa maana inampa nafasi ya mwanamke kutaka usawa wa kijinsia kitu ambacho serikali jamii dini hairuhusu kabisa leo hii kisa mdada kaolewa anataka kuwa controller wa kila kitu katika Maisha.

Namalizia sidhani kama kuna Tajiri dunia ameoa.

Ronaldo mwenyewe na mahela yote hana ndoa.

Kijana kataa ndoa
Jali afya yako
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

JamiiForums-934571309.jpg
 
watu huwa wanadhani vijana wanaokataa ndoa ni kwamba hawana wanawake au watoto swala ni hivi hatutaki kusaini mkataba wa maisha ambao obviously utampa jeuri mwanamke afu utakuharibia wewe mwanaume
nina mwanamke na mtoto mmoja ila huo mjicheti wao sijui wa ndoa sahau, hataki apite hivi aniachie mwanangu, nasema hivi ikiwezekana tubadili slogan kataa ndoa cheti ila kizazi hakikisha unakiendeleza zaa lea kuza maisha yaendelee, kikubwa tu usiwe mzinzi tunza misingi
 
Mnazidi kulishana ujinga mjue ninyi
 
Body language expert naomba taarifa haraka.... Hapa hajaolewa Yuko HV 😁
FB_IMG_16731222539083882.jpg
 
watu huwa wanadhani vijana wanaokataa ndoa ni kwamba hawana wanawake au watoto swala ni hivi hatutaki kusaini mkataba wa maisha ambao obviously utampa jeuri mwanamke afu utakuharibia wewe mwanaume
nina mwanamke na mtoto mmoja ila huo mjicheti wao sijui wa ndoa sahau, hataki apite hivi aniachie mwanangu, nasema hivi ikiwezekana tubadili slogan kataa ndoa cheti ila kizazi hakikisha unakiendeleza zaa lea kuza maisha yaendelee, kikubwa tu usiwe mzinzi tunza misingi
Wengi hawaelewi hii kampeni wameidandia kwa mbele
 
Back
Top Bottom