Tuwekane sawa.
Hakuna kijana anayekataa kuwa na mwanamke au kupata watoto ila kinachokataliwa ni ndoa yenye mlengo wa kutolewa cheti kiwe cha kanisani, msikitini, serikalini.
Hatutaki ndoa cheti inaleta jeuri sana kwa wadada wa mjini na ndio maana ndoto ya mwanamke yeyote ni kupata ndoa anajua mwisho wake ni kumtawala mwanaume na kumfanya vile anayotaka.
Hatutaki ndoa cheti mali zetu zitapotea,wanawake wengi sana leo pasua kichwa wakisingizia wanaume hawana nguvu za kiume na usaliti umekuwa mkubwa ambao upelekea ndoa kuvunjika kwa muda mfupi tu na mali kugawana sawa.
Hatutaki ndoa kwa Sababu hakuna cha maana kabisa kinachopatikana kwenye hiyo ndoa watu wanaikubali maana kama mnyanduano unaupata popote,watoto wa kuzaa nao wapo sasa sijui kitu mnaweza kutushawishi tukubaliane na hiyo ndoa.
Hatutaki ndoa maana inampa nafasi ya mwanamke kutaka usawa wa kijinsia kitu ambacho serikali jamii dini hairuhusu kabisa leo hii kisa mdada kaolewa anataka kuwa controller wa kila kitu katika Maisha.
Namalizia sidhani kama kuna Tajiri dunia ameoa.
Ronaldo mwenyewe na mahela yote hana ndoa.
Kijana kataa ndoa
Jali afya yako