Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuja muoaji kuwajibu kwa hoja.Kataa ndoa
Huu mradi hauna faida ni wizi mtupu.
Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi Kwa kuwa hazina Nia njema ya kujenga jamii ,kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania,wewe unayeshawishi watu wasioa umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Nasisitiza kama hutai kuoa bhas jua utaolewa tu one day
Mkuu, ndoa ni gereza, haswa kama wewe ni wale ambao mkifunga ndoa mpaka kifo kiwatenganishe ndo utajua hujuiCha ajabu wanaoumia na kampeni ya KATAA NDOA ni walio kwenye ndoa, Sasa utajiuliza kama ndoa ni tamu wanateseka na nini?,Kila mtu aishi atakavyo. Wasiotaka ndoa waeleweke pia.
Ndoa sio sherehe ya kula na kunywaKuna watu wametoka kufunga ndoa hata miezi 4 hawajafika,timbwili tayari
Ova
Ndoa ni mradiNimekuja muoaji kuwajibu kwa hoja.
Mjigawanye makundi matatu .
1. mliooa mkaachana na mwenza.
2. msiooa na hamtaki kuoa.
3. Mliooa na hamjui kama mmeoa.
Ndoa ni nini tuanzie hapo ?
Uliangalia vigezo Gani ? Ulipotaka kuoa.Mkuu, ndoa ni gereza, haswa kama wewe ni wale ambao mkifunga ndoa mpaka kifo kiwatenganishe ndo utajua hujui
Mimi ninaweza nikaoa muda wowote na nikatoa talaka muda wowote kulingana na imani yangu
Hao wanaochukizwa na kampeni za KATAA NDOA Wanajua yanayoendelea sio mazuri yangekuwa mazuri wasingechukizwa na hizi kampeni zinazoendelea badala yake wangeongeza wake maana vijana wa sasa wengi hawataki kuoa
Kwa kuongezea tu, tafuta uzi wa Mshana Jr unaoitwa "Mada maalumu kwa wanandoa"
Kule nimefunguka yaliyonisibu mpaka sasa linapokuja swala la kuoa najiuliza mara mbili mbili
Ninaye binti mzuri tu ana kila sifa ya kuwa mke lakini bado nahofia naweza kukutana nayo kama ya mwanzo japo mwenyewe anajitahidi kufanya kila awezalo ili nimuoe
Ila binafsi bado nikikumbuka yaliyonikuta naghairi
Upo kundi Gani kati ya hayo matatu niliyotaja ?Ndoa ni mradi
Akileta hizo hoja nishtue ili twende sawaWajibiwe kwa hoja mbona wataacha kupiga ban ni kuukimbia ukweli.
Mnapiga kelele alafu mnata mjibiwe kwa hoja ?KATAA NDOA,KATAA UTUMWA
Mkuu lete hoja na sio maswali, mpaka sasa nna 36+ nilioa nikiwa na 29+Uliangalia vigezo Gani ? Ulipotaka kuoa.
1. Umri wa kuoa ulifika?
2. Ulimpenda ?
3. Alikupenda ?
4. Mzuri ?
5. Unamjua jina na sura ?
6. Ukamilifu wa tabia ? (Malaika)
7. Mengineyo (TAJA....)
Unayoyasema hapa sio kama hayawatokei au labda hawayajuiWee huniambii kitu nikakuelewa,
Ningekuwa sijawahi kuoa hapo sawa,
Mimi nilifunga ndoa kabisa ya kiislamu ila mwanamke alipoanza kunipangia ratiba ya kwichi kwichi (na mimi hii ndo starehe yangu kubwa), baadae akaanza kuniambia nitaondoka mimi yeye nimuachie nyumba akae na watoto (wakati nyumba yenyewe ya kupanga), ikafika kipindi nikawa hata kurudi nyumbani nachukia nikajikuta nafanya kazi masaa kumi na sita,
Mwanamke unaacha kila kitu ndani lakini hapiki badala yake anaenda kununua chipsi anakula na watoto (huyo alikuwa mama wa nyumbani) nilikuwa nampatia kila anachohitaji mwisho wa siku akawa anajisifu kwa watoto wa dada yangu kwa kuwaambia,
"huyo mjomba wenu mwenyewe nampelekesha"
Siku anaamua kuondoka nyumbani yeye mwenyewe akachukua kila kitu na bado narudi kazini nakuta barua kutoka chang'ombe polisi kanifungulia kesi kwamba nimemfukuza, nimemtolea vyombo nje (ninachoshukuru wale kina dada/mama walikuwa ni waelewa) na walijua kwamba yeye ndo mwenye matatizo hivyo walimuuliza tu, "kwa hiyo wewe unatakaje?"
Akajibu, "nahitaji kila mwezi anipe pesa kwa ajili ya watoto" (kimoyo moyo nikajisemea huyu kumbe anataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi chake)
Maana kabla hatujaachana nilishawahi kumwambia, "nakupa miezi mitatu fikiria ni biashara gani utakayoweza kufanya ambayo itakuwezesha kuhudumia watoto hata ikitokea siku nimekufa" huwezi amini ilipita miezi mitatu nakuja kumuuliza umefikia wapi, ananijibu l, "sijaona biashara ya kufanya", shiiit
Kifupi huyu mwanamke kuna kipindi nilikuwa naishi nae kwa tahadhari, maana nilikuwa naona kabisa tunapoelekea kuna siku mmoja atamuua mwenzie
Kisha mnajaribu kutushawishi tuoe, aaah weeee... tena kwa sasa hivi wapo na msimamo wao wa 50 kwa 50
Nakwambia, "Niache kidogo"
anaetaka 50/50 ni Demu wako sio wa wengine. Msipite kama hamuoni hoja na maswali yetuAkileta hizo hoja nishtue ili twende sawa
Wanawake wenyewe wa kuoa ndo hawa wanaotaka 50 kwa 50?
Yaani wanasema haki sawa wakati huo huo wanakwambia pesa ya mwanamke ni yake peke yake ila ya mwanaume ni ya wote
Yaani kama wote tunafanya kazi na yeye anaingiza pesa ndefu kuliko mimi, lakini bado hiyo pesa ni yake peke yake (hii ni tabia ya ubinafsi walionayo wanawake na hapa ndipo tunaposema ndoa ni kwa ajili ya kumfaidisha mwanamke na kumrudisha nyuma kiuchumi mwanaume hapo utakuta mwanamke pesa yake anajengea kwao wakati mwanaume wazazi wake wanaishi kwenye nyumba ya miti)
NASUBIRI ALETE HOJA HAPA
Ndo sababu inayotufanya wanaume tufe harakaUnayoyasema hapa sio kama hayawatokei au labda hawayajui
Wanayajua sana na ni kero kwao ila wanachodai busara ni kuvumilia
Ww mbona huleti hoja za kutushawishi tusioe ?Mkuu lete hoja na sio maswali, mpaka sasa nna 36+ nilioa nikiwa na 29+
Lete hoja za kuwashawishi vijana waoe na sio kuhoji ili kuonekana walikosea kuoa wakati kila mmoja ana mapungufu yake
Hoja dhaifu.Ndo sababu inayotufanya wanaume tufe haraka