Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Huyu mtu juzi tu alikuja na maada ya kwamba eti 'mwanamke anaweza kukufanya uwawe'
halaf leo anakuja kutetea juu ya haya majinamizi yanapaswa yafugwe ndani.
hivi wewe nalia ngwena unatuchuliaje
 
Mjomba, mim ni muumini mkubwa sana wa ndoa, lakini inakua kama mnawalazimisha watu na kuwapangia maisha. Yani yale unayoyaota, kuyatamani na kuwish yatokee kweny maisha yako na uyaishi hapo mbeleni, bs unataka kila mwanaume ayaishi na apitie. Kwa mnapangia watu namna ya kuishi?
Hakuna anayempangia mtu namna ya kuishi Soma post yangu hapo juu.

Lakini humu Kuna makele ya kataa ndoa bila ya kua na sababu maalumu
 
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
NDOA NI UNDONDOCHA
NDOA NI KIFUNGO
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UBINAFSI

NB: Mwanaume wakweli hawez kubali chakata mbususu moja kila sku ni ujinga mtupu, yani mbususu moja inihangaishe wakati zpo kbao na rahs kuzila
Hiyo ndiyo hoja yako ya maana kabisa si ndiyo
 
KATAA USHOGA

PIGA VITA KATAA NDOA
Mashoga ni nyie mnaokimbilia ndoa mwisho wa siku mnagongewa na kuishia kujinyonga.
Mwanaume aliumbwa kuwa kichwa, hiyo 50/50 yenu iliharibu dhana nzima ya ndoa na ndo hapo wenye akili timamu tukaamua kuachana na huo upumbavu mnaouita ndoa.
#KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo baba ako alivyooa alikosea sana ??
 
Tulishatoa hoja kibao humu kwanini tunaikataa ndoa, anza kufukunyua nyuzi zote za kataa ndoa na usome hoja unazozitaka.
 
Kwa hiyo baba ako alivyooa alikosea sana ??
Alioa zama hizo ndoa ikiwa katika misingi yake, nyie mmeamua kuvuruga misingi ya ndoa kwa kumpa haki zote mwanamke (kisheria) sasa nioe kutafuta nini!!!??
NDOA NI KWAAJILI YA WAJINGA WACHACHE KAMA WEWE
NDOA NI UTAPELI
#KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom