dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Afande Rama alikua na ndoa na watoto juu, bado akapakuliwa kisamvuKATAA USHOGA
PIGA VITA KATAA NDOA
KATAA NDOA
KATAA UTAPELI
KATAA KUNUNUA KIUMBE
KATAA KUFUGA KIUMBE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afande Rama alikua na ndoa na watoto juu, bado akapakuliwa kisamvuKATAA USHOGA
PIGA VITA KATAA NDOA
Hakuna anayempangia mtu namna ya kuishi Soma post yangu hapo juu.Mjomba, mim ni muumini mkubwa sana wa ndoa, lakini inakua kama mnawalazimisha watu na kuwapangia maisha. Yani yale unayoyaota, kuyatamani na kuwish yatokee kweny maisha yako na uyaishi hapo mbeleni, bs unataka kila mwanaume ayaishi na apitie. Kwa mnapangia watu namna ya kuishi?
SIKAZIIIPIGA VITA KATAA NDOA
NAKAZIA'mwanamke anaweza kukufanya uwawe'
Hiyo ndiyo hoja yako ya maana kabisa si ndiyoKATAA NDOA
NDOA NI WIZI
NDOA NI UNDONDOCHA
NDOA NI KIFUNGO
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UBINAFSI
NB: Mwanaume wakweli hawez kubali chakata mbususu moja kila sku ni ujinga mtupu, yani mbususu moja inihangaishe wakati zpo kbao na rahs kuzila
KUZUIA WANAOJIELEWA WASITAPELIWELakini humu Kuna makele ya kataa ndoa bila ya kua na sababu maalumu
Kwa sababu wewe ulitapeliwa ndo kila mtu akate ndoakwasababu sitaki UTAPELI
elewa maana ya NDOA
NDOA NI UJAMBAZIKwa sababu wewe ulitapeliwa ndo kila mtu akate ndoa
Mashoga ni nyie mnaokimbilia ndoa mwisho wa siku mnagongewa na kuishia kujinyonga.KATAA USHOGA
PIGA VITA KATAA NDOA
NAKAZIA.Afande Rama alikua na ndoa na watoto juu, bado akapakuliwa kisamvu
KATAA NDOA
KATAA UTAPELI
KATAA KUNUNUA KIUMBE
KATAA KUFUGA KIUMBE
NAKAZIAKATAANDOA
KATAA USHOGAMashoga ni nyie mnaokimbilia ndoa mwisho wa siku mnagongewa na kuishia kujinyonga.
Mwanaume aliumbwa kuwa kichwa, hiyo 50/50 yenu iliharibu dhana nzima ya ndoa na ndo hapo wenye akili timamu tukaamua kuachana na huo upumbavu mnaouita ndoa.
#KATAANDOA
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo baba ako alivyooa alikosea sana ??Mashoga ni nyie mnaokimbilia ndoa mwisho wa siku mnagongewa na kuishia kujinyonga.
Mwanaume aliumbwa kuwa kichwa, hiyo 50/50 yenu iliharibu dhana nzima ya ndoa na ndo hapo wenye akili timamu tukaamua kuachana na huo upumbavu mnaouita ndoa.
#KATAANDOA
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Afande Rama alikuwa mwanandoa mwenzako.KATAA USHOGA
PIGA VITA KATAA NDOA
Alioa zama hizo ndoa ikiwa katika misingi yake, nyie mmeamua kuvuruga misingi ya ndoa kwa kumpa haki zote mwanamke (kisheria) sasa nioe kutafuta nini!!!??Kwa hiyo baba ako alivyooa alikosea sana ??
NAKAZIATulishatoa hoja kibao humu kwanini tunaikataa ndoa, anza kufukunyua nyuzi zote za kataa ndoa na usome hoja unazozitaka.
NDIO, NDOA NI USENGE MTUPUHiyo ndiyo hoja yako ya maana kabisa si ndiyo