- Thread starter
- #141
Gwa
Nchi zote zilizoendelea kuna mambo ya msingi hata aje nani hawezi kuyabadirisha. Wakisema Osama mbaya hata regime ya 4 itaendelea kumtafuta Osama. Wakisema Hiyo hata kwa individuals hatuna consistency ndio maana mambo yetu ni bahati na sibu. Nilijiuliza kwa nini serikali isichukue engineering graduates wapelekwe china wakajifunze viwanda vidogovidogo hao ndio wangekuwa wanabeba uchumi. Wangekopa benki kujiendesha na ingeongeza mzunguko wa hela na kupunguza importation. Nilienda India nikakuta wazee na vijana wana workshop ambayo inatengeneza AC kuanzia scratch yaani wanaanza na bati hadi mwisho.
Gwajima was right sema kuna watu wakamzushia Sukuma gang na vitu kama hivyo kumnutralize ionekane ana msema mama hana maono. Siasa tabu sana.Issue kubwa kwa mtu mweusi inayo fanya awe nyuma kimaendeleo kulinganisha na watu weupe ni ubnafsi .Aliye bahatika kupata nafasi nzuri ya kutumikia sehemu flani ata hakikisha iwe kwa udi au uvumba anaweka watu wake hata kama hawana uwezo. Kingine mtu anaenda shule kusoma lakini lengo sio kupata maarifa ili aya tumie lakini lengo ni kupata cheti ili awe promoted akae kwenye AC africa msomi ni yule anaye jua kukariri na anaye jua kujieleza lakini lakini kiutendaji hamna kitu.Ili tutoke hapa tuweke watu wenye uwezo husika bia kujalisha ni mtoto wa nani wa mjini au kijijini kutumika sehemu husika alafu hoja ya Gwajima ya kuwa na long term plan ni ya kuizangatia sana nchini kama watu au sehemu ni productive kwa kitu flani ndio tuwekeze nguvu kubwa huko kwa miundo mbinu wezeshi ili kuleta matokeo makubwa: