Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mnamiliki au wanamiliki??Wanawake nao washajua yaani wametulia hawana presha, wanamiliki mijengo...
Wewe hauko kati yao??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamiliki au wanamiliki??Wanawake nao washajua yaani wametulia hawana presha, wanamiliki mijengo...
Si ndiko ambako wanadedishwa zaidi.Mbona huko Japan na wanaume wanaishi mda mrefu sawia na wanawake?
Ulaya pia wanaume wanakula chumvi nyingi tu sawa na wanawake?
Tatizo la wanaume kufa mapema liko zaidi barani Africa
Hakuna mwanaume anapenda kelele lakini ukikutana na kirumbembe lililojawa tamaa ya Mali , utajuta kuzaliwa ndio maana tunasema ficha michongo yako , au ukutane na single mother mjuaji na mwenye shobo kwa waliotoboa utajuta hakuna rangi utaacha kuona , kikubwa ficha michongo yako akishindwa asonge mbele na uchi wake wewe Baki na pesa zako kwa amaniMajibu ya mtaani ni mengi mara life style, mara kazi ngumu, mara stress n.k, n.k
Lakini jibu sahihi ni kwamba wanaume wengi hufa kwa kuuwawa na wake zao direct and indirect.
Katika nyumba 4 nilizowahi kupanga Dar es salaam ni nyumba moja tu nilibahatika kumkuta baba na mama mwenye nyumba. Tatu zingine wanaume waliwahi kuzikwa kabla ya wake zao.
Hivi unadhani ukiwekewa tone moja la sumu kila wiki moja au mara moja kwa mwezi hautakata moto mapema?
Uchawi
Maneno
Kelele
Toka kwa mwanamke huleta kifo cha haraka kwa mume wake.
Kuna jamaa zangu wapo Dar karibu na kanisa la Mwingira wanakufa sana kwa vifo vya utata, wanawake wakiwa washukiwa wakubwa lakini hakuna namna unaweza kuwashitaki.
Jamaa mmoja kukopa pesa ndefu kidogo, siku pesa imeingia tu kafa.
Wengine wakistaafu tu pesa inaingia na wao wanaingizwa kwenye jeneza.
Kuweni makini na wanawake.
Kwa sababu wao wameamka wakagundua kuna maisha baada ya kupenda kalio la binti.Mbona huko Japan na wanaume wanaishi mda mrefu sawia na wanawake?
Ulaya pia wanaume wanakula chumvi nyingi tu sawa na wanawake?
Tatizo la wanaume kufa mapema liko zaidi barani Africa
Hii sio kweli. Wanawake wanaishi maisha marefu kuliko wanaume dunia nzima:Mbona huko Japan na wanaume wanaishi mda mrefu sawia na wanawake?
Ulaya pia wanaume wanakula chumvi nyingi tu sawa na wanawake?
Tatizo la wanaume kufa mapema liko zaidi barani Africa