Mjadala: Kwanini wanaume wengi hufa mapema? Wanawake tuhurumieni please...
Stress za wanawake na watoto wa damu yao.

Mwanaume angeamua kuachana na mwanamke bila shida, tatizo ni pale mwanamke akileta shobo na mume kuwaza athari zitakazowapata watoto pale anapoamua kuiacha familia.

Hii humuondoa mapema sana mwanaume.
Michepuko ni gharama ila inaondoa sumu mwilini,jaribu utanishukuru.
 
Wanaume wengi wanajisifia uanaume na hivyo kutumia nguvu pasipo busara hakuna ambaye hakosei ni Mungu tu.

Unakuta Mwanaume anaishi na mke ila anaishi kwa tabia ya uvulana maneno makali au anafikia kumpiga mke wake
leo ninaleta kitu muhimu sana watu tujue angalia fanya utafiti wale wanaopiga wanawake au kutoa maneno makali wanapoishia.

hakuna baya linaenda bure au zuri ila wengi ukiona mwanaume ana kiharusi ujue alijichanganya kupiga wanawake au maneneo makali.

Wanaume wengi wanatafuta vifo vya mapema kisa kutotumia akili kuishi na mwanamke hata ukimfumania mwanamke. Bora ubaki kimya ukafungua mdomo wako ndio kifo chako wewe ivyo tumia akili huwezi ukawa mrefu na wakati huohuo ukawa mfupi.
 
fanya utafiti wale wanaopiga wanawake au kutoa maneno makali
Hapo kwenye maneno makali ni ya wanaume wa wapi?! Hayo ni mambo ya wanawake bhana
hata ukimfumania mwanamke. Bora ubaki kimya ukafungua mdomo wako ndio kifo chako wewe
Duh,
Ya kweli hayo?
Kwa hiyo uwe unapigwa pipe na kuchakazwa na wahuni mumeo umetulia tuliii ?!!! Hapo si atakata moto kwa stress?

Nadhani kuna sababu zingine za msingi hujazingatia. Mfano unywaji pombe uliokithiri, sigara, ulaji mbovu, kazi ngumu sana zinazoumiza viungo, baadhi ya magonjwa hatari ya zinaa, msongo wa mawazo kutokana na kelele za mke au ugumu wa maisha, ukosefu wa tiba nzuri, nk..
 
Hapo kwenye maneno makali ni mambo ya wanawake bhana

Duh,
Ya kweli hayo?
Kwa hiyo uwe unapigwa pipe mumeo umetulia tuliii ?!!! Hapo si atakata moto kwa stress?

Nadhani kuna sababu zingine za msingi hujazingatia. Mfano unywaji pombe uliokithiri, sigara, ulaji mbovu, kazi ngumu sana zinazoumiza viungo, baadhi ya magonjwa hatari ya zinaa, msongo wa mawazo kutokana na kelele za mke au ugumu wa maisha, ukosefu wa tiba nzuri, nk..
1.kumbuka wanawake ukiongea neno lolote analiweka haya nyie mnaotukana unafikiria yanakwenda hivi hivi? no unaamsha dubwashaa .2.usilolijua usiku wa kiza na giza hivi unajua mwanamke wako ametoka wap? haya mfano ametokea katika utawala wa giza umemtukana au umempiga nakuambia unakufa hauchukui muda unakufa
3 .ni bora ukabak kimya wanawake wengine wamebeba vitu vizito sana ndio maana fuatilia wengi wao baada ya kufumania wanayopitia oooooh wanapitia kuzimu japo wapo duniani maradh mambo mengi chanzo chake ......usiangalie madhara mie naangalia chanzo
 
Siku za hivi karibuni kumeibuka watu wanapost thread za ajabuajabu.

Mleta mada yamkini hajawahi hata kukaa na mwnaamke GHETO 😄😄😄😄

Mliopo DODOMA hapo Karibu na MIREMBE tupeni updates huwenda kuna wanamirembe wametoroka hapo hospitali.
 
Siku za hivi karibuni kumeibuka watu wanapost thread za ajabuajabu.

Mleta mada yamkini hajawahi hata kukaa na mwnaamke GHETO 😄😄😄😄
wakamwambia mbona sisi sio vipofu? Yesu aliwaambia ni vipofu kwa sababu wanatazama ila hawaoni # know thy self
naomba unijibu hili swali umetoka wapi unaenda wap?
 
Back
Top Bottom