Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Dar kuna kipi cha ajabu mji umejaa uswazi kila angle mji unanuka kila angle isingekuwa mbeleko ya serikali Dar ingekuwa zaidi ya Lindi,, Dar ndo sehemu pekee hapa Tanzania chumba kimoja wanalala mama baba na watoto tena wakiwa na umri mkubwa,,hivyo vijengo viwili vitatu vya msaada na hivyo vidaraja ndo vinawazuzua,,, Mwanza ni mji ambao unajijenga wenyewe fikiria asilimia kubwa mji unajijenga wenyewe na bado mpaka leo uko top je ungepewa busta kama inavyopewa Dar?
Nasisitiza usisingizie mbeleko.
Hizi kelele za mbeleko hazisaidii kitu.
Mbezi makabe,Mbezi beach,Ununio,Kijitonyama, Kigamboni,Temeke,Masaki,Msasani, Oyster Bay.
Hizi sehemu zote HAZIJAJENGWA NA SERIKALI BALI WATU BINAFSI.
UNAIJUA AVIC TOWN??
Mwanza nzima HAKUNA MRADI WA NYUMBA KAMA WA AVIC TOWN.
Na umejengwa na tajiri mmoja tu GHALIB SAID MOHAMMED.
Uwekezaji wa Azania,Azam,Metl,Afya,Fsm,Fms hizo ni investment za watu binafsi.
Na mind you hao nilokutajia ni watu binafsi wamewekeza.
Sasa hapo mbeleko ya CCM iko wapi!??

Kuwepo na uswazi ni kawaida kwasababu Tanzania mji mkongwe ni Dar es salaam.
Na mind you huu mji umeanza kurekebishwa,matajiri binafsi wananunua uswazi kama mtaa mzima wanajenga nyumba na kuuza.
Sasa kama unajidanganya pole yako.
Nenda Kigamboni kisota uone miradi ya watu binafsi ya nyumba.
Dar ni mji wa mkubwa hivyo lazima utakuta watu wa aina tofauti tofauti wenye hali tofauti za kimaisha.
Hiyo Shanghai China ina uswazi sembuse Dar!??
Kaeni singizieni mbeleko.
 
Ukitoa usafiri wa haraka na flyover ni kipi Dar inacho Mwanza haina,,,pia kumbuka Mwanza ina meli zake za abiria Dar haina
Mwanza mna Sky scrapers??
Mwanza mna miradi mikubwa ya makazi ya watu binafsi kama Avic town??
Mwanza mna speed boat kama za Azam fast ferries??
Mwanza mna massive investment za watu binafsi kama Dar??
Mwanza mna mzunguko wa biashara za watu binafsi kama Dar??
Nasubiri majibu hapa.
 
Sasa jumapili si ni muda wa kupumzika,,tatizo la watu wa Dar wanaona kukimbizana na kushindia maji ya kandoro pamoja na miguu ya kuku pia kuingia kwenye daladala kwa kupitia madirishani mnaona ndiyo maendeleo kumbe ni dhiki na stress tu Mwanza tuko comfortable hatukimbizani kama wehu na bado tunakula good life,,, kingine Mwanza ukikuta mtu amelala nje ujue ni chizi ila Dar walala nje ni wenye akili timamu na bado hao hao ndo wanaona Dar ni sehemu sahihi kumbe ni viande tu.
Hivi unajua kama hao walala nje wapo hadi wasukuma wenzako waliokuja kujaribu maisha huku!??
Kukimbizana hiyo kawaida huu mji una watu wengi na wengine wamekuja kutafuta wasepe kujenga kwao.
 
1. Idadi ya Watu.
- Mara nyingi, idadi ya watu ni kigezo muhimu. Kwa mfano, mkoa unahitaji kuwa na idadi kubwa ya wakazi ili kutimiza hadhi ya jiji. Nchini Tanzania, idadi ya watu inaweza kuwa zaidi ya 500,000 ili mkoa uanze kufikiriwa kuwa jiji.

2. Maendeleo ya Kiuchumi.
- Mkoa unahitaji kuwa na kiwango kikubwa cha shughuli za kiuchumi, viwanda, biashara, na huduma za kifedha. Jiji lazima liwe na uwezo wa kutoa ajira nyingi kwa wakazi wake na kuwa na uchumi unaokua kwa kasi. Uwepo wa viwanda vikubwa, biashara za kimataifa, na huduma za kitaifa ni muhimu.

3. Miundombinu.
- Jiji lazima liwe na miundombinu bora kama barabara, mfumo wa maji safi na taka, umeme, hospitali, na shule. Uwepo wa usafiri wa umma na uwezo wa kushughulikia ongezeko la watu na maendeleo ya kiuchumi ni muhimu.

4. Huduma za Kijamii
- Mkoa lazima uwe na huduma bora za kijamii kama elimu, afya, na burudani kwa wakazi wake. Shule, vyuo, hospitali, vituo vya burudani, na viwanja vya michezo ni alama ya ukuaji wa kijamii unaohitajika kwa jiji.

5. Utawala na Uongozi.
- Mkoa ambao unataka kuwa jiji lazima uwe na utawala unaojitegemea, unaoweza kushughulikia changamoto za kiutawala, kiuchumi, na kijamii kwa ufanisi. Pia, ni lazima uwe na utaratibu wa bajeti inayojitosheleza ili kusaidia mahitaji ya kijiiji.

6. Mchango katika Maendeleo ya Taifa
- Mkoa unahitaji kutoa mchango muhimu katika maendeleo ya taifa kupitia kodi, ajira, na kuwa kitovu cha shughuli za kibiashara, kiuchumi, na kimataifa.

Kuhitimisha, miji mikubwa kama MWANZA NA DAR ES SALAAM imepata hadhi ya kuwa majiji kutokana na kukidhi vigezo hivi, ambavyo vinaonyesha uwezo wa jiji katika kutoa huduma za msingi kwa wakazi wake na kuchangia katika maendeleo ya kitaifa.
Title ya thread yako inakutia kitanzini, acha kulinganisha Dar na Mwanza ingawa yote ni majiji.
 
Mwanza mna Sky scrapers??
Mwanza mna miradi mikubwa ya makazi ya watu binafsi kama Avic town??
Mwanza mna speed boat kama za Azam fast ferries??
Mwanza mna massive investment za watu binafsi kama Dar??
Mwanza mna mzunguko wa biashara za watu binafsi kama Dar??
Nasubiri majibu hapa.
Ndiyo skyscrapers tunazo! Usizuzuke na hiyo mitungi mitatu hapo posta Dar ni slum kila kona
makazi ya watu binafsi ya maana tunayo ila siyo ya misaada kwa sababu Mwanza tunajiweza hatutegemei kujengewa makazi
Hizo speed boat zipo nyingi kuna kitu kinaitwa songoro Marine kumbuka bado dar meli za abiria hamna kama vile MV Mwanza
Tembea Mwanza kaka hizo massive investment za watu ni kubwa sana rejea sensa inasemaje kuhusu majenzi yanayoendelewa Mwanza ndo utajua hujui
Mzunguko wa pesa kwa watu binafsi Mwanza ni mkubwa sana kumbuka hili jiji ndiyo hub ya east Africa ukanda wa maziwa makuu kwa hiyo kisumu entebe Rwanda Burundi hapa ndo maemezi yao yalipo
Una kipi kingine?
 
*Skyscraper Mwanza hamuna usitake kunidanganya mie sio mtoto Mwanza mna magorofa ya kawaida,pia Skyscraper sio tatu tu Dar,Dar kuna skyscraper zaidi ya 8.
*Nani kakwambia Dar tunajengewa kwa msaada??Mtu binafsi kujenga na kuuza ndio msaada??Mwanza HAKUNA HOUSING PROJECT KUBWA KAMA YA AVIC TOWN.Na mind you hayo makazi duni unaoyaona ni nyumba za zamani sana na sasa hivi mji unarekebishwa taratibu taratibu.Hakuna usitudanganye,mna vijumba vyenu mnajenga vimoja vimoja ila Massive housing project hamuna.Na Dar hizo zinajengwa na mtu binafsi sio serikali.
Huyu avic town GSM mkubwa,tuje tu kwa hawa wadogo wadogo Kisota kigamboni mtu ananunua viwanja size ya mtaa mzima na anajenga nyumba za kifahari kesha anauza.
*Mwanza hakuna speed boats usinifanye mimi mtoto.Mwanza mna boat za kawaida na meli.Songoro haina ability ya kuunda speed boat.Na sana sana project zao ni assembling.
Sisi hatuna haja ya meli ilhali kuna speed boat zinazotuwaisha kutoka hapa kwenda visiwani.
*Dar es salaam kuna massive investment kuliko kwa watu binafsi kuliko Mwanza.
Nikikutajia matajiri watatu tu wawekezaji hapa Dar basi wamemeza utajiri wa asilimia kubwa hapo Mwanza.
-Ghalib Said GSM.
-TRH
-Farid Mbarouk FMS.
-Mohammed Dewji Metl.
Hawa peke yake wakubwa sana kiuwekezaji kuliko uwekezaji zaidi ya 80% hapo Mwanza.

Sijakupeleka matajiri wa mchongo wa biashara za kati hapo Kariakoo na viunga vyake.
Kama wewe unasema Mwanza ni inahudumia ukanda wa ziwa victoria basi Dar inahudumia kimataifa zaidi.
 
Maghorofa ambayo siyo ya kawaida hapo Dar is slum yako vipi?
Halafu pia sisi hatuhitaji mtu binafsi atujengee na atuuzie tunajijengea wenyewe dizaini tuitakayo kwa sababu bado hatujashindwa kujenga,,huko mnajengewa kwa sababu Dar ni slum kila mahali Mwanza hakuna vijumba vya ovyo ovyo kama huko kwenu tandale kwa tumbo,,,kwa hiyo ni bora mmjengewe sababu wengi wenu hamuwezi kujenga
Hizo housing projects kubwa huku za Nini kwa sasa hatuna mahitaji nazo pia bado huko mnajengewa hizo housing projects kila pahala lakini slum bado zimegoma hata kupungua,, hivyo vitu laiti kama serikali ingeviweka Mwanza Mwanza ingekuwa the best Africa mashariki na kati kwa sababu watu wa huku ni watu wa kazi kazi
Boat za kawaida zipoje haya mbona hiyo meli hamna ndiyo tutarejea hapa kila sehemu inajenga kulingana na mahitaji sasa ni kama Dodoma tuwazodoe kwanini hawana meli wala speed boat tutakuwa tunatumia akili kweli?
Narejea kusema mlichotuzidi hapo cha maana ni flyovers,brt, population, pamoja na slum robo tatu ya mji wenu kwingine kote hakuna maajabu,,pia maeneo mengi tu Mwanza imeipiga bao Dar!!!
 
Kelele nyingii kama debe tupu.
Pia inaonekana hujui kwanini matajiri wanawekeza katika nyumba.
Nyumba ya Avic town moja unajenga bungalow nne hapo Mwanza.
Pale Avic town nyumba ndogo tu ni 250 millions shillings.
Chukua hiyo nenda kajenge Mwanza unajenga nyumba ngapi.
Halafu unasema watu wameshindwa kujenga.
Are you mad or what!??

-Kuhusu Tandale nilishakujibu ile ni miji mikongwe nyumba zao ni za miaka ya 1970s kipindi hiko cha mzizima.
Na saa hata huko Tandale kumeanza kurekebishwa kwa kubomoa makazi ya zamani.
Na hilo linafanywa na matajiri wa kawaida.
Kijichi,Kigamboni,Bunju,Ununio,Mbweni,Goba ambako kunaanzishwa miji mipya hukuti uswazi kwasababu kunajengwa kwa mpangilio.
Ila sijui wewe kijana wa juzi??
Nenda Tandale kafanye tafiti uulize wenye nyumba wamejenga lini kama sio miaka ya uhuru huko.
Pia huu mji kuwa na makazi holela ni lazima kulingana na msukumo wengi wa watu hivyo hupelekea ujenzi wa bei rahisi na usio na mpangilio.
Hili suala halipo Dar peke yake, commercial city nyingi duniani zinakumbwa na tatizo hili.
Hata Shanghai vile vile.
Hizo sehemu zenu za kitajiri bado kuzifikia Oysterbay,Msasani,Kijito nyama,Mikocheni, Mbezi beach, Mbezi makabe,Kijichi,Somangila.
Mbweni,Ununio napaweka pembeni nitawaua.

Unatolea mfano wa Dodoma kwani Dodoma kuna ziwa,mto au bahari??
Mbona kama haujasoma shule kaka?
Kwani Mwanza si kuna ziwa kwani hakuhitajiki speed boat?
Tena speed boat zingewasaidia sana kuvuka kutoka Kigogo kuelekea Busisi kwa muda mfupi.
Tanua akili.

Kanitafutie magorofa marefu yenye height kuanzia 80 metres and above yenye blue glass architecture Mwanza kama;
-PSPF tower.
-TPA tower.
-Nyerere square.
-PSSSF tower.
-Rita tower.
-Millenium tower.
-Uhuru heights.
-Morocco square.
-NHC tower Morocco.
-Victoria.
Hizo zinakutosha.
Nenda kanitafutie majengo marefu kuanzia 80 metres and above hapo Mwanza.
 
Back
Top Bottom