Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Ni huko ukweni kwangu jtano hii wiki iliyopita wife alienda msibani wa baba yake mdogo mimi sikwenda.
Huyu marehemu alikuwa na mke mmoja wa ndoa ambae wamebahatika kuzaa watoto 2 tu kisha mwanamke akafunga uzazi.
Maisha hayakuwa mabaya na si mazuri sana au si mabaya sana kiuchumi ni ya kati( hata mimi familia ile naijua)
Katika hali hiyo marehemu alizaa na wanawake nje 3 akawa na watoto nje ya ndoa7 jumrisha wa kwakwe 2 jumla 9!
Ma wifi zake na mjane walikuwa wanajua fika kuwa kaka yao anawatoto wengine sehemu kadhaa...
Yule mwanamke mjane hakuamini macho yake na masikio yake akaanza kulia tena kwa awamu nyingine akisema kwanini hukuniambia nikuzalie mwenyewe tu mme wangu?
Wife aliniambia huku nikimsikitikia kwamba ungejua kuwa kulia ni kupokezana wala usingenisimulia.
Alisema mimi kama unawatoto nje
Unanimbia tu mapema ili nijue na tuwalee kwa pamoja😄😄😄
Jamaa yule watoto alikuwa amewanunulia viwanja sehemu mbalimbali cha ajabu watoto wake wa ndoa hakuna hata mmoja aliye mnunulia Asset yoyote hiki ndo kimeniacha na maswali mengi sana!!
Pia wanawake usifunge uzazi kwa kuridhika na watoto2 ni bora kumshirikisha mmeo kuna baadhi yetu wanaume utajiri wetu ni watoto wengi ndo kama hivi.
Hii kwangu si ngeni kuna kaka yangu si watumbo moja na mimi ni kateksta mzuri sana ila ana watoto 3 nje kwa mwanamke mmoja na nyaraka za Asset alizo wanunulia hao watoto ninazo mimi anayejua ni baba,kaka na mimi. Sina uhakika kama kuna ndg wengine wanajua.
Kijana wake mkubwa ananizidi umri kama mwaka1 mmoja huwa anasema katika ukoo mzee anakukubali sana nadhani una siri nyingi sana za mzee😅😅
Hapa huwa nahisi kuna kitu anajua japo sisi yeye pekee kusema bro yule ananikubali sana ila huwa nauchuna na kumwambia bro yule ni msiri mno sijui issue yoyote yakwake private.