Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
Mimi Nina mtoto nje pia na wife hajui na sitamwambia japo sikupanga kuzaa nje ilitokea na hudumia vyema kabisa.
Wewe kama hutoki nje ya ndoa basi shukuru sana ila kama unatoka jiandae kukataa mimba au kupokea mimba muda wowote. Ndipo utakapo elewa kuwa kumwambia mkeo utavuruga kila kitu na hata familia yako pendwa kuishia hapohapo so bora kuu nyuti tu
Hata kama ningekuwa na watoto nje , na hata kama wanaume wote duniani tungekuwa nao ila haihalalishi chochote.
Na mimi sijali kuhusu starehe za watu wazima kwa sababu hakuna aliyekamilika. Hata mimi nina makosa na madhaifu yangu mengi iila siyahalalishi. Ila kama umenisoma ninachoongelea ni mustakabali wa mtoto ambaye anaishi kwa kufichwa na hana access au freedom ya kumuona baba yake.
Hii huwa inawaathiri sana na labda uwe umekulia katika mazingira ya mzazi mmoja. Kama sio, huwezi kunielewa ninachokizungumza🙏🏽🙏🏽