Mjane apigwa butwaa baada ya kuona watoto wa nje ya ndoa wa mme wake wakitambulishwa na ndg!

Mjane apigwa butwaa baada ya kuona watoto wa nje ya ndoa wa mme wake wakitambulishwa na ndg!

Nilisema nitazaa na mke mmoja tu liwalo na liwe na mali zangu ni kwa mke wangu tu watoto wakatafute zao .

USSR
Mke/Mume ni rafiki. Sio ndugu. Uhusiano wenu unaweza ku-expire. Watoto ni ndugu zako wa damu. Uhusiano wenu hauna expiry date. Kikawaida huwezi kukosana na wanao bila kuwepo "mtu kati" baina yenu
 
Shida kubwa wanawake wa siku hizi wakiolewa wanaenda na malengo yao vichwani mwao, kwamba ameshajipangia atazaa watoto 2 au 3 au 4, anataka wasome shule za aina fulani nk.

Wanachoshindwa kuelewa ni kwamba "Life Vision" ya wanaume iko tofauti sana na ya wanawake.

Na wanasahau Mungu aliwapa amri ya kwamba mume ndo mwenye maamuzi ya mwisho kwenye taasisi ya ndoa.

Kwetu sisi wanaume, watoto wote ni sawa mbele ya macho yetu.

Kwetu sisi wanaume, hata tuoe wanawake 5 wote wako sawa mbele ya macho yetu.

Utofauti utakuja ni namna gani mwanamke anamsikiliza mwanaume? Na hata kama unamrekebisha mwanaume "Is it constructive criticism?". Ama unamkosoa tu ili na wewe uonekane unajua kukosoa!

Mwanaume anaweza akaoa, kama mke atakuwa hajajua namna ya kujihandle mbele yake basi trust inayeyuka yote. Yani mwanaume anaweza kuoa ila akaendelea kuwa na huyo mke sababu wana watoto na wamefunga ndoa, ila akawa na mchepuko huko nje uliomjulia na akaenda nao sawa kabisa na chemistry ikawa kubwa.
Hata mwanamke anaweza olewa na akaendelea na mchepuko wake usipomjulia
 
Back
Top Bottom