Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahaha, una hasira na ndoa eeh ?Yeah,ubinafsi mwingi,kiburi,dharau
Ujinga ujinga tu🚮
Umekua timu kataa ....safi sana
Hahahaha, una hasira na ndoa eeh ?Yeah,ubinafsi mwingi,kiburi,dharau
Ujinga ujinga tu🚮
👍Hahahaha, una hasira na ndoa eeh ?
Umekua timu kataa ....safi sana
Mwamba ana mpunga😂😂😂, sasa wewe jaribu uoneElon Musk
Na kusomeshwa , mara nyingi hizi ndio akili za singo Maza Kwa watotoUmeonesha ufahari kwa ulichokifanya na anachokifanya kaka yako. Ila nachojiuliza ni kuwa,
Je, hao watoto wanaolelewa nje nao wanajisikia fahari kuwa na baba wa kificho, baba anayekuja kwa conditions, baba wasiyekuwa na uhuru nae ??...
Au wao wakishapata uhakika wa kula, kulala na kupata mali za urithi inatosha?..
Hongera 🙏👍👊
😂😂😂😂Mwamba ana mpunga😂😂😂, sasa wewe jaribu uone
ipende hivyc hivyoNdoa si kitu kizuri...kimejaa ubinafsi na takataka zote.....
Mkuu usiwe unatuma video kama hizo zenye limtu linacheka. Nimeaibika sana leo. Mambo haya hatufanyi humu JF.Ni huko ukweni kwangu jtano hii wiki iliyopita wife alienda msibani wa baba yake mdogo mimi sikwenda.
Huyu marehemu alikuwa na mke mmoja wa ndoa ambae wamebahatika kuzaa watoto 2 tu kisha mwanamke akafunga uzazi.
Maisha hayakuwa mabaya na si mazuri sana au si mabaya sana kiuchumi ni ya kati( hata mimi familia ile naijua)
Katika hali hiyo marehemu alizaa na wanawake nje 3 akawa na watoto nje ya ndoa7 jumrisha wa kwakwe 2 jumla 9!
Ma wifi zake na mjane walikuwa wanajua fika kuwa kaka yao anawatoto wengine sehemu kadhaa...
Yule mwanamke mjane hakuamini macho yake na masikio yake akaanza kulia tena kwa awamu nyingine akisema kwanini hukuniambia nikuzalie mwenyewe tu mme wangu?
Wife aliniambia huku nikimsikitikia kwamba ungejua kuwa kulia ni kupokezana wala usingenisimulia.
Alisema mimi kama unawatoto nje
Unanimbia tu mapema ili nijue na tuwalee kwa pamoja😄😄😄
Jamaa yule watoto alikuwa amewanunulia viwanja sehemu mbalimbali cha ajabu watoto wake wa ndoa hakuna hata mmoja aliye mnunulia Asset yoyote hiki ndo kimeniacha na maswali mengi sana!!
Pia wanawake usifunge uzazi kwa kuridhika na watoto2 ni bora kumshirikisha mmeo kuna baadhi yetu wanaume utajiri wetu ni watoto wengi ndo kama hivi.
Hii kwangu si ngeni kuna kaka yangu si watumbo moja na mimi ni kateksta mzuri sana ila ana watoto 3 nje kwa mwanamke mmoja na nyaraka za Asset alizo wanunulia hao watoto ninazo mimi anayejua ni baba,kaka na mimi. Sina uhakika kama kuna ndg wengine wanajua.
Kijana wake mkubwa ananizidi umri kama mwaka1 mmoja huwa anasema katika ukoo mzee anakukubali sana nadhani una siri nyingi sana za mzee😅😅
Hapa huwa nahisi kuna kitu anajua japo sisi yeye pekee kusema bro yule ananikubali sana ila huwa nauchuna na kumwambia bro yule ni msiri mno sijui issue yoyote yakwake private.
View attachment 3471162
Mkuu kwenye mitandao ya kijamii lolote linaweza kutokea muda wowote kuwa na makini na pole sana.Mkuu usiwe unatuma video kama hizo zenye limtu linacheka. Nimeaibika sana leo. Mambo haya hatufanyi humu JF.
Maadamu huombwi msaada vunga tuHaya ndio mambbo waafrika wanaweza.
Organization kwa muafrika ni kama maji na mafuta.
Ndio maana wanapigana miti kama mbwa na kuzaana kama nguruwe bila mpangilio
Alafu burden inayojitokeza waanachia jamii
Ndoa si kitu kizuri...kimejaa ubinafsi na takataka zote.....
Shukrani mkuu. Nitakuwa makini.Mkuu kwenye mitandao ya kijamii lolote linaweza kutokea muda wowote kuwa na makini na pole sana.
Mkuu unapenda sana kuitumia kudadadeki ni Nini hiyo😁Ukiolewa na ngosha,kawaida Sana hizo mambo!
Ngosha atakufanya malkia Wewe na watoto wako atawaonesha upendo usiopimika🤗🤗🤗🤗🤗
Kudadadeki maajabu utayaona siku akifa,vitoto kopi ya baba na ukoo wake wote wanajua kasoro Wewe🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Jamaa mali za familia zinazo Juliana zipo salama ila hajaandika wosia wowote.Hapo mke alifunga kumkomoa mume,mume nae kakomoa watoto na mke
Kudadeki Walah hata Mimi sijui!Mkuu unapenda sana kuitumia kudadadeki ni Nini hiyo😁