Mkuu pm umefunga najaribu kukuonaKudadeki Walah hata Mimi sijui!
Mkuu pm umefunga najaribu kukuonaKudadeki Walah hata Mimi sijui!
Nimefunga mkuu!Mkuu pm umefunga najaribu kukuona
Umenena vyema na hili wengi hawalijui kabisa mfano huyo kaka mimi mwenyewe nilikuwa sijui kabisa kama ana zini namna anavyoheshimika kanisani na kwa jamii yaani sikuwahi kutegemea kama ana watoto wote hao nje ya ndoa.Shida kubwa wanawake wa siku hizi wakiolewa wanaenda na malengo yao vichwani mwao, kwamba ameshajipangia atazaa watoto 2 au 3 au 4, anataka wasome shule za aina fulani nk.
Wanachoshindwa kuelewa ni kwamba "Life Vision" ya wanaume iko tofauti sana na ya wanawake.
Na wanasahau Mungu aliwapa amri ya kwamba mume ndo mwenye maamuzi ya mwisho kwenye taasisi ya ndoa.
Kwetu sisi wanaume, watoto wote ni sawa mbele ya macho yetu.
Kwetu sisi wanaume, hata tuoe wanawake 5 wote wako sawa mbele ya macho yetu.
Utofauti utakuja ni namna gani mwanamke anamsikiliza mwanaume? Na hata kama unamrekebisha mwanaume "Is it constructive criticism?". Ama unamkosoa tu ili na wewe uonekane unajua kukosoa!
Mwanaume anaweza akaoa, kama mke atakuwa hajajua namna ya kujihandle mbele yake basi trust inayeyuka yote. Yani mwanaume anaweza kuoa ila akaendelea kuwa na huyo mke sababu wana watoto na wamefunga ndoa, ila akawa na mchepuko huko nje uliomjulia na akaenda nao sawa kabisa na chemistry ikawa kubwa.
Uko sahihi mkuuTatizo linaanzia neno nje ya ndoa.. watoto wakizaliwa ni watoto tu hizo story za nje ya ndoa na ndani ndo zinazaa hayo majanga yote hayo. Na hao wanawake walio ndani ya ndoa wakishaandika kile kikaratasi sijui cheti cha ndoa wanasahau majukumu yao.
Uje wewe🙂Nimefunga mkuu!
Ni hawa wanawake wasomi wanaojua kila kitu yaani hadi kesho yake anaijua vizuri tu hawachelewi kukuuliza ukifa nitaishije mme wangu?Poleee yake sana, kwanini hakumshirikisha kufunga uzazi mumewe? Doooh
Ila siyo tasa eti?😂😂😂😂🚴🚴From single mother or Single mother said
Mkuu nipende au nisipende mtu kashanikabidhi tiyari.Umeonesha ufahari kwa ulichokifanya na anachokifanya kaka yako. Ila nachojiuliza ni kuwa,
Je, hao watoto wanaolelewa nje nao wanajisikia fahari kuwa na baba wa kificho, baba anayekuja kwa conditions, baba wasiyekuwa na uhuru nae ??...
Au wao wakishapata uhakika wa kula, kulala na kupata mali za urithi inatosha?..
Hapana,mtu sahihi na mwema kwako unamwona toka mwanzo ila tunakomaa kuingia kwenye ndoa hivyohivyo....moto lazima uupateUkiolewa na ngosha,kawaida Sana hizo mambo!
Ngosha atakufanya malkia Wewe na watoto wako atawaonesha upendo usiopimika🤗🤗🤗🤗🤗
Kudadadeki maajabu utayaona siku akifa,vitoto kopi ya baba na ukoo wake wote wanajua kasoro Wewe🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Yote mema!MAISHA NI SASA, MAISHA NI LEO.....
Kama kashindwa kuprovide kwa familia wameshindwa kuishi vizuri baaas, hapo ndio kashindwa, ila hayo ya asset ya kuzaa huko atajua mwenyewe.
Apumzike salama
Ogopa matapeli mkuu,hiki Ni kijiwe cha wasiojulikana!Uje wewe🙂
Si hivyo ukimwambia una watoto nje kama hatakuua basi hutaacha kuona kila rangi kwenye hii duniaWanawake acheni roho mbaya, haya mambo ya kuficha watoto yanasababishwa na mama wa kambo kuwa katili. Unaona kuepusha shali na vitoto kuteswa bora kukausha tu
Inasikitisha na nyumba ndogo zikijiweza kiuchumi. Zinamkata baba wa familia kwa sababu hawaoni umuhimu wake zaidi ya provisionsNa kusomeshwa , mara nyingi hizi ndio akili za singo Maza Kwa watoto
Nimeongelea kwako pia maana the way ulivyoliongelea ni kama mke wako asubiri time yake ya kulia.Mkuu nipende au nisipende mtu kashanikabidhi tiyari.
Laiti ningelaumiwa iwapo mimi ndo nilimshauri azalishe nje ya ndoa hapo nilistahili kabisa lawama zako.
Je ungekuwa wewe ungekataa kutambulishwa na kupewa Hati?
Mimi Nina mtoto nje pia na wife hajui na sitamwambia japo sikupanga kuzaa nje ilitokea na hudumia vyema kabisa.Nimeongelea kwako pia maana the way ulivyoliongelea ni kama mke wako asubiri time yake ya kulia.
Sikuhukumu mkuu lakini kuna vitu vingi vimefanywa kuwa kawaida ndio maana kizazi cha sasa watu wanazidi kuwa broken kwa sababu hawalelewi na familia ya baba na mama kama inavyotakiwa. Na watoto wa nyumba ndogo hua wakijiona kama ni tabaka la pili kitu ambacho huwakata sana
🤣🤣🤣Sasa usikaisirikie ndoa kma yko imeenda viralIla siyo tasa eti?😂😂😂😂🚴🚴
Sio kweli.Inasikitisha na nyumba ndogo zikijiweza kiuchumi. Zinamkata baba wa familia kwa sababu hawaoni umuhimu wake zaidi ya provisions
Kabisa ndoa ni ubinafsi mtupu.. imagine mwanamke anakuja kwako anakuzalia katoto kamoja kisha anafunga kizazi kimya kimya bila kukushirikisha wewe mumewe, wakati huo wewe unahitaji timu...Ndoa si kitu kizuri...kimejaa ubinafsi na takataka zote.....