Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Wengi Huwa wanakufa vifo vibaya na vya aibu!!
Hizi ni hisia zako. Ukweli ni kwamba mtu hata mbaya au muuaji, anaweza kuishi maisha mazuri na marefu kuliko hata mtu mwema. Ndiyo maana ni muhimu kuwa na nchi yenye viongozi wenye maono, wanaoweza kuifanya nchi iwe na vyombo vya kuoa haki vinavyoaminika.
 
Hiyo ndio habari za hao jamaa
Big NO! Kuwa wakili hakufanyi mtu awe mhalifu au kupata adhabu ya kufariki. Tena huu ni unafiki mkubwa sana. Kuna mijizi ya mali za umma inayofanya watu wafe kwa maelfu na inadunda tu. Hivi unajua kwanza kazi ya wakili ni nini? Kazi ya wakili ni kushirikiana na hakimu/jaji pamoja na upande wa mashtaka kuhakikisha kesi inafanyika kwa kufuata utaratibu uliowekwa.
 
Sawa mkuu! Ila Aneth Msuya angekuwa ni dada yako wa kuzaliwa leo BP yako ingekuwa 200 baada ya kupokea hii hukumu.
 
Back
Top Bottom