Siwezi sema moja kwa moja wameroga au hawajaroga ila chochote kinaweza tokea Ndio! Wapo watu watasema imani potofu ndio! Kwa sisi ambao tumeshakumbana na mambo ya kesi tunajua jinsi nguvu za giza zinavyoweza badilisha matokeo na hutaamini hata kama ushaidi upo wazi.Kwa hio wameroga?
Ndugu yangu ingia ngomani ujue inavyochezwa. Mwanasheria mzuri ni mtu asiye na utu hata kidogo. Ili ushinde kesi mtuhumiwa anatakiwa akuambie ukweli asilimia 100. Ili ujue unamteteaje. Nimeshuhudia kesi zaidi ya tatu nikaja kujua kuwa ili uwe mwanasheria mwenye mafanikio inabidi utu ukae pembeni. Sifa ya kuwaokoa waovu ni nzuri kuliko kutetea wenye haki. Siwapondi wala kuwachukia maana wana familia pia na watoto inabidi wale.Bei ya Kibatala kuwa juu au chini ya mawakili wengine haina maana kwamba Advocate Remunaration Rules hazijaweka viwango vya tozo.
mbona hizo huku machimboni watu wanazo tena mwingine hana hata gari wala nyumbaUnaijua b2 lakini?
Ndugu yangu ingia ngomani ujue inavyochezwa. Mwanasheria mzuri ni mtu asiye na utu hata kidogo. Ili ushinde kesi mtuhumiwa anatakiwa akuambie ukweli asilimia 100. Ili ujue unamteteaje. Nimeshuhudia kesi zaidi ya tatu nikaja kujua kuwa ili uwe mwanasheria mwenye mafanikio inabidi utu ukae pembeni. Sifa ya kuwaokoa waovu ni nzuri kuliko kutetea wenye haki. Siwapondi wala kuwachukia maana wana familia pia na watoto inabidi wale.
Hoja yangu ni kuwa Kibatala amefanya kazi yake. Na amefanya kazi kwa faida yake ni si kwa haki. Na hatakiwi kulaumiwa maana ana watoto na familia. Na namalizia kwa amepiga hela ndefu kwenye kesi.Sasa wewe hoja yako ni nini?
Hata sikuelewi maana sheria hujui na practice pia huna.
Hiyo bado ni dhahania isiyo na uthibitisho. Wivu na husda umekujaa!Hoja yangu ni kuwa Kibatala amefanya kazi yake. Na amefanya kazi kwa faida yake ni si kwa haki. Na hatakiwi kulaumiwa maana ana watoto na familia. Na namalizia kwa amepiga hela ndefu kwenye kesi.
Mimi sina wivu wala husda nimefanya kazi na mawakili wengi.Wengi wao ni marafiki zangu. Kila mtu ana majukumu na majukumu ni pesa. Simlaumu wala simchukii Kibatala maana alisoma ili awe na uwezo wa kuihudumia familia yake.Hiyo bado ni dhahania isiyo na uthibitisho. Wivu na husda umekujaa!
Hilo wanajua watalaamu WA mambo ya kirohoKwa hio hawajaroga?
-kazi ya kiba ulikuwa ni hii kwenye ile kesi ya R vs Miriam Mrita na revocatus muyella,Kiba kavuta SI chini ya b 2 hapo kuubadilisha ukweli kuwa uwongo.
Unajua maana ya competence?Sheria fani ya uongo uongo..
Kesi moja akikutetea wakili X unaenda jela..
Lakini kesi hiyo hiyo akikutetea wakili Y unatoboa..
Kwamba wakili Y alielewa zaidi darasani.
Huyo kaachiwa ila mtaani huko watamalizana naye.Mawakili wa serikali hamna kitu kabisa, kesi ilikua wazi kabisa ila wanashindwa kuwa serious. Sijui nini ambacho wanaweza hawa watu!! Na hata wangeshinda kesi wangeenda kubwagwa kwenye rufaa.
Issue ni kwamba huna hata idea ya bei za huduma za sheria tanzania ,case kuonekana kwenye tv haimaanishi ndio umelipwa hela nyingi, kuna wanasheria huwaoni kwenye case za tv ila kazi zao za documents tu ils zinalipa sana kuliko haya ma kesi ya mauajimbona hizo huku machimboni watu wanazo tena mwingine hana hata gari wala nyumba
Maombi yanakupa mke mwema chief trust me. Usichanganye maombi na uovu. Maana Mungu hakai sehem chafu so kama umeamua funga omba utapewa. Kanuni ni moja tu.Nani kakudanganya maombi yanakupa mke mwema unaweza ukamuomba Mungu,shetani akawahi kujibu maombi yako.
Mke ni zaidi ya maombi pili mwanadamu ubadilika
Sisi ndugu tunakata rufaa wee subirimbona hukwenda kutoa ushaidi mahakamani ili anyongwe hadi kufa.
rufaa ni haki yenu, ila hukuna ushahidi mpya,Sisi ndugu tunakata rufaa wee subiri
Sidhani labda Judge ( sisemi amepoka rushwa hapana) ila kama wa kuzipokea/kuzipata ni Judge siyo Kibatala!Kibatala kakunja sichini ya B 2 hapo
Sawa haku na ushahidi mpya, but kuna Wrong apprehension of evidence by the Judge!rufaa ni haki yenu, ila hukuna ushahidi mpya,
Nashangaa hili takataka linasema nini? Wanasheria wangapi vilaza tunawaona mtaani?Vilaza wengi mbona wamejaa huko