Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #21
Na huo ndyo mtindo wa maisha ya vijana wengi hapa townJumamosi kama hii unagonga zako breakfast heavy home, mchana unagonga ugali mkubwa na samaki. Unalala kidogo kubuy buy time.
Kwenye saa Tisa unaamka unaoga zako, kisha unapiga pensi, t-shirt na sendo. Unajisogeza kigrocery cha karibu na home mnapokutana washkaji wawili watatu wa mtaani. Unstoa Loki kidogo.
Kwenye saa moja moja usiku unaenda kiwanja chenye vibe kimtindo unasikiliza muziki mkubwa. Huku ukicheki cheki warembo tofauti tofauti. Unacheki gemu kama ipo mda huo. Kwenye saa nne unageuza zako home.
Wee develekaaa tyuu hapo kwa shangazi koko wa uswaziiii.Sio wote aiseee kuna sisi wengine tumefungiwa humu ndani...
Sijui hata natokaje tokaje dada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sasa Hilo ni janga kubwa kwa taifa ketuTofauti ya Tanzania na kwingine Iko hapa:
View attachment 3077937
Bila kujitathmini kwa kina, Kwa hakika tungali bado sana.
ππ ulipoteza sana mda wako kujua mie ni mtu wa maana, watu wa maana wapo bungeni huko , wizarani na jeshi la polisi pamoja na TISS pasipo kusahahu CCM huko ndio wamejaa watu wenye maana zaoAstakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah
Nilijua we jamaa ni mtu wa maana kumbe ...... Sasa πππππ
Dildos ndo niniWee develekaaa tyuu hapo kwa shangazi koko wa uswaziiii.
Atakapokutolea Dildos akuchokoee huko mferejini ndo utajua hujui.
Neng'enekaa hivyo hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhh,kwamba....fungukaWanaume wa Bongo, watakufa vipira na pump vimetepetaa "pweee"
Sio kwa heka heka wanazokumbana nazo, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ Umdhaniaye kumbe sio baaana....ππ ulipoteza sana mda wako kujua mie ni mtu wa maana, watu wa maana wapo bungeni huko , wizarani na jeshi la polisi pamoja na TISS pasipo kusahahu CCM huko ndio wamejaa watu wenye maana zao
Muulize huyo shangazi yako akuambiee.Dildos ndo nini
..
Mbona unataka kunichanganya na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna ishaeleweka hapoo?? Rudia kusoma tena.Mhhh,kwamba....funguka
ππ kama hela ingekuwepo kama watu wa maana walizo nazo sasa hivi ningekuwa napiga kabisa 5some, kwenye hotel ya 5star.. tumefungua vioo upepo unapiga na sio kutumia feni wala A.C maana huwa vinakausha uteleziππππ Umdhaniaye kumbe sio baaana....
Watu hovyo humu ndani daaaah
Sawa mkuu, leo nyumba ni yako, utazunguka pande zote mpaka uchoke πππππ Siwezi kutoka mkuu ngoja nitulie tuone anasemaje leo
Nimetoka ku google hapa daaah πππππππ..Muulize huyo shangazi yako akuambiee.
Wee neng'enekaaaa, kikulambeeeee, waulize wenzio.
Woiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ukikataa kwenda kula pombe wanao wataanza kukuita mshambaMi nawanagu kila wikiend tunajikusanya tynakula pombe strory nyingi maisha ni kufurahi
Astakafillah astakafillah astakafillahππ kama hela ingekuwepo kama watu wa maana walizo nazo sasa hivi ningekuwa napiga kabisa 5some, kwenye hotel ya 5star.. tumefungua vioo upepo unapiga na sio kutumia feni wala A.C maana huwa vinakausha utelezi
Hii post imekaa ki wivu wivu sana sana juu yawatu wanao ishi mjini!Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.
Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na ukae kwenye viti virefu.
Inasikitisha kwakweli.......
Niwatakie weekend njema wadau wote, iwe na heri kwenu na familia zenu.
Lawama zote kwangu mimi.....Sawa mkuu, leo nyumba ni yako, utazunguka pande zote mpaka uchoke π
Kumbe kuna watu wanaamini bar watapata connection? Labda connection za madadapoaKile kisingizio bar tunapata connection sio bongo.
Ni makelele tu ya amapiano. Ujinga tu.