Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

Hahaha!
 
Kupanga ni kuchagua! Acha kila mmoja wetu afanye kadiri anavyoona inafaa. Maana mapito yetu yanatofautiana sana. Utafutaji wetu, majukumu yetu, historia yetu na amani yetu inatofautiana sana. Pengine kinachokupa amani mm chaninyima amani n.k
 
sahihi kila mtu anafanya kadri anavyoona inafaa, na hao wamechagua kufanya hivyo wanavyo fanya.
 
Iyo ndio wikendi sasa.
 
Wapo pia wanaoshinda site japo ujenzi wenyewe wa kuunga unga lakini wanafanya kitu,mtu akinunua tofali zake mia anaenda kushinda na mafundi site.

Siyo wote wapenzi wa hizo starehe!
Ila ujenzi wa Dar utakuwa rahisi sana maana vitu ni kama bei bure vile huwezi kulinganisha na sisi wa kutoka Simiyu aiseee!
 
Ulitaka wafanye nini mbadala wake.
 
Nyumbani zipo carton za kutosha lkn na za kwenye bar nazihitaji na offer natoa vilevile.
 
Ila ujenzi wa Dar utakuwa rahisi sana maana vitu ni kama bei bure vile huwezi kulinganisha na sisi wa kutoka Simiyu aiseee!
Ajabu na wa Dar wanaona wanaoishi nje ya huo mji nao wana ujenzi rahisi,kuna kipindi jamaa yangu Kagera aliniambia ananunua cement hii inayouzwa Dar 14,500/= kule ananunua 28,000/=.
 
Yani umemgusa Saguda47 mulemule. Mwamba kakuwekea hadi avatar picha ya safari lager kwenye ID yake.

Saguda de 47
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…